Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Upo sahihi zile taasisi hasa SU n.k wanalipwa vizuri sn kati ya milioni 3 mpaka 15 lakini halmashauri ni kati ya laki 3 mpka 1.8M basi na wakati ndiyo wazalishaji wakubwa
1.8M ni nani? Mbona wanasema wakuu wa idara wanalamba 3.8.?
 
Mkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?

Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi

Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Unawezaje kuishi tena ukihudumia familia na hiyo laki mbili mkuu? Kweli ndomaana huwa tunahudumiwa kwa hasira plus huduma mbovu sekta za umma sababu watu wana stress zao

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom