Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Kwa hii salary slip onaonesha mambo yafuatayo.
1 Umezaliwa mwaka 1987
2

Inaonesha
1 Ni mwalimu
2 umezaliwa mwaka 1987
3 Umeanzia certificate
4 ulikuwa inapanda madaraja kwa wakati labda kwa Magu
Daraja A halipo kwenye mishahara ya walimu labda kama aliakuwa mwl wa upe na akili inakataa kwa sababu ya umri wake
 
Kama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.

Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".

Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa Local Government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Mshahara Mdogo, sasa mbona wanarogana kila kukicha?
 
Daraja A halipo kwenye mishahara ya walimu labda kama aliakuwa mwl wa upe na akili inakataa kwa sababu ya umri wake
Hiyo salar slip siyo yakehata mimi niliwaza hivyo kwasababu ukiangalia hapo anaonekana ni mwalimu hana bodi uwenda alianza diploma kama ni yake ola shida inakuja anaposema kaanzia A
 
Kwa hii salary slip onaonesha mambo yafuatayo.
1 Umezaliwa mwaka 1987
2

Inaonesha
1 Ni mwalimu
2 umezaliwa mwaka 1987
3 Umeanzia certificate
4 ulikuwa inapanda madaraja kwa wakati labda kwa Magu
Shida iko wapi Mkuu? Mbona Mimi mwalimu Niko shule ya msingi nanjilinji liwale!!
 
Demand ya kazi hapo Halmashauri ipo vipi ?, Ukiacha leo atapatikana mwingine kwa kufanya kazi ile ile kwa ujira huo huo ?

Kama jibu ni ndio basi gundua hilo tatizo sio la kwenu pekee bali ni la kitaifa na huenda wewe upo better off kuliko wanaokuzunguka
 
Nani kakwambia mi nafanya kazi halmashauri? Nimenote tu jambo.
 
Kama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.

Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".

Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa Local Government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Local government is really LOCAL
 
Back
Top Bottom