Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Kama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.

Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".

Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa Local Government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Upo sahihi
 
Kama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.

Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".

Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa Local Government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Kama wale wa pssf wa zamani waliongia nssf looo hiyo mishahara ni mkubwa hatari kuwazidi hata staff wa nssf, na mpaka lei hakijafanyika kitu kulinganisha maslahi yao
 
Kama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.

Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".

Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa Local Government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Wote hawawezi kufanya huko,Division of Labour
 
Unachosema ni kweli Halmashauri hali ngumu sana . Japo kuna vitengo kama Kitengo cha Habari mianya ya kula hela ipo lakn local government ni baraaa !
 
Mkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?

Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi

Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Umeficha Nini Sasa. Pale hazina wanakushangaa tu unavyolalamika !! Wanakuona !!!! Hint ni kiwango Cha mikopo na tarehe ya slip! Pia tarehe ya kuzaliwa na kustaafu zimekuacha uchi.be careful!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Kuna kosa nimefanya,? waambie hazina waje wanikamate niko shule ya msingi nanjilinji liwale,upuuzi mkubwa!!!, hii slip Ni yangu, Niko huru kufanya nitakacho hata Kama nisingefuta majina hakuna Cha kunifanya.

Ulitaka nawewe mwenye uelewa mdogo ujue niko wilaya gani Hadi na majina yangu? Si Bora nikatambulika kwa hazina kuliko wewe!!! [emoji849][emoji849]
 
Nje ya mada..vipi ufuta mwaka huu uko najilinji unapatikana?

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?

Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi

Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Kwa hii salary slip onaonesha mambo yafuatayo.
1 Umezaliwa mwaka 1987
2
Mkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?

Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi

Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Inaonesha
1 Ni mwalimu
2 umezaliwa mwaka 1987
3 Umeanzia certificate
4 ulikuwa inapanda madaraja kwa wakati labda kwa Magu
 
Mkuu Kuna kosa nimefanya,? waambie hazina waje wanikamate niko shule ya msingi nanjilinji liwale,upuuzi mkubwa!!!, hii slip Ni yangu, Niko huru kufanya nitakacho hata Kama nisingefuta majina hakuna Cha kunifanya.

Ulitaka nawewe mwenye uelewa mdogo ujue niko wilaya gani Hadi na majina yangu? Si Bora nikatambulika kwa hazina kuliko wewe!!! [emoji849][emoji849]
Acha panic... Ni ushauri tu. Ukitaka kufichia jina angalia na vingine viwezavyo kukutambulisha. Ni kwa nia njema tu !!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.

Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".

Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa Local Government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Yes mishahara midogo lakini Kuna marupu rupu mengi
 
Back
Top Bottom