Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Deni la bodi alitoe wapi kumbuka anasema alianza na Daraja A Ina maana uyu ni mwalimu grade A kafika daraja D kwa kupanda daraja ndio maana anamwambia amekaa na Daraja Hilo miaka kumi Ina maana aligoma kurudi shule elimu yake ndio imemfanya akae hapo alipo asitafute mchawi nani
Mkuu Nani kasema anatafuta mchawi? Mimi sio mtu wa kulia Lia!
 
Kama kuna kitu nimenote kwenye mabango ya mei mosi ni kuwa wafanyakazi wa serikali za mitaa, Yani halmashauri nk wanahali mbaya sana. Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, wizarani, psssf ,TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".
Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa local government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Upo sahihi zile taasisi hasa SU n.k wanalipwa vizuri sn kati ya milioni 3 mpaka 15 lakini halmashauri ni kati ya laki 3 mpka 1.8M basi na wakati ndiyo wazalishaji wakubwa
 
Kama kuna kitu nimenote kwenye mabango ya mei mosi ni kuwa wafanyakazi wa serikali za mitaa, Yani halmashauri nk wanahali mbaya sana. Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, wizarani, psssf ,TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".
Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa local government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Wafanyakazi wa "Wizarani" hawana tofauti yoyote ya mishahara na wa Halmashauri.
 
M
Namshukuru Sana Rais samia pia nampa pole sana pia nampongeza walau kwa kuajiri japo kidogo,najua miradi iliyoachwa na mwenda zake ni mingi mikubwa na inayokula pesa mingi kwelikweli,kwa juhudi unazozifanya tunafahamu muda utafika mamiradi yatakwisha watanzania tutafaidi ukubwa wa mishahara minono,tuvute subra kidogo!
Mkuu umepotea sana
 
Jinsi mishahara ilivyoongezeka siku ya wafanyakazi nchi mbalimbali
1 kenya 12%
2 Morocco 16%
3 Ghana 10%
4 Nigeria 17%
5 Tanzania. LileJambo letu lipo
[emoji23][emoji23][emoji23].
Mama aache janja janja ataje asilimia au aseme hamna kitu na sio tuna jambo letu
Amefanya vizuri sana kutokutaja.
 
Hawakubali Mkuu, wakiweka hii opsheni cwt itakufa , hakuna mwalimu anaikubali cwt
Basi wapunguze kiasi!!! Pesa hiyo kwa idadi ya walimu wote nchini basi wanapata millions of shillings per month sababu walimu ni almost 30% ya wafanyakazi wote wa serikali
 
Back
Top Bottom