Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Jinsi mishahara ilivyoongezeka siku ya wafanyakazi nchi mbalimbali
1 kenya 12%
2 Morocco 16%
3 Ghana 10%
4 Nigeria 17%
5 Tanzania. LileJambo letu lipo
😂😂😂.
Mama aache janja janja ataje asilimia au aseme hamna kitu na sio tuna jambo letu
 
Mkuu Mimi nimeanzia ngazi ya daraja A, B, C Hadi D, sikuwahi kusomea pesa ya bodi ya mikopo??
Deni la bodi alitoe wapi kumbuka anasema alianza na Daraja A Ina maana uyu ni mwalimu grade A kafika daraja D kwa kupanda daraja ndio maana anamwambia amekaa na Daraja Hilo miaka kumi Ina maana aligoma kurudi shule elimu yake ndio imemfanya akae hapo alipo asitafute mchawi nani
 
Namshukuru Sana Rais samia pia nampa pole sana pia nampongeza walau kwa kuajiri japo kidogo,najua miradi iliyoachwa na mwenda zake ni mingi mikubwa na inayokula pesa mingi kwelikweli,kwa juhudi unazozifanya tunafahamu muda utafika mamiradi yatakwisha watanzania tutafaidi ukubwa wa mishahara minono,tuvute subra kidogo!
Mbwawewe
 
Deni la bodi alitoe wapi kumbuka anasema alianza na Daraja A Ina maana uyu ni mwalimu grade A kafika daraja D kwa kupanda daraja ndio maana anamwambia amekaa na Daraja Hilo miaka kumi Ina maana aligoma kurudi shule elimu yake ndio imemfanya akae hapo alipo asitafute mchawi nani
Mimi nilifikiri alianza na ngazi ya mshahara A sasa yupo D
 
Nilijaribu kufanya utafiti usio rasmi kwa nini watumishi wa mashirika ya umma mishahara yao na marupurupu yao yamenona kuliko mishahara ya watumishi waliopo idara za serikali nikaja kugundua kwamba watumishi wengi waliopo mashirika ya umma ni wana unasaba wa karibu na vigogo wa serikali au wanasiasa wakubwa.
 
Mimi nilifikiri alianza na ngazi ya mshahara A sasa yupo D
Ndio hivyo alianza daraja A Ina maana alianza kazi akiwa na certificate akapanda madaraja A, B, C, na sasa D zamani ilikuwa mwisho E kama ajajiendeleza kielimu Sasa hivi nasikia wanaenda tu ila wengi wanaishia hapo E umri wa kustafuu unakuwa umefika
 
Back
Top Bottom