Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Hakuna anaewasemea watu wako na Walimu tuu,stupid zao.

Just imagine Mtaalamu wa Diploma fani ya uhandishi eti scale yake ni C sawa na 570,000 ,ukikata Kodi na makolokolo mengine mtu anaondoka na 400k ,hii sio sawa.

Ukiacha Hawa wa Halmashauri kuja wale wa Wizarani nao ni hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…