Watumishi wa Mungu mnaoendekeza siasa madhabahuni mnajishushia heshima mnapuuzwa

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣

Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya ukeleketwa kwenye siasa.

Ewe mtumishi wa Mungu hebu Chagua Moja siasa au utumishi wa Mungu
 
Bahati nzuri Tanzania ya Sasa ni ya Vijana, na Kwa pamoja angalau Asilimia 80 ya Watanzania Kwa Sasa Wana Elimu japo kuanzia la Saba.

Hivo Uelewa wao juu ya Maisha yao mi Mkubwa Mnooo.

Ukihubiri tu HAKI, wanajua wee ni Mmoja wao

Ukijifanya kanjanja ukahubiri AMANI ,wanakukumbia
 
Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣

Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya ukeleketwa kwenye siasa.

Ewe mtumishi wa Mungu hebu Chagua Moja siasa au utumishi wa Mungu
Mkuu Kimbe. Kimbesa11 naunga mkono hoja,
Kiukweli baadhi ya watumishi wa Mungu wanachanganya dini na siasa, mfano ni huu
"Huyu Mama...mi nikamwangalia tuu". Hii sio lugha ya Mimbarini, ni lugha ya Kijiweni! Rais wa nchi ni Rais, sio 'Huyu Mama'. Lazima aheshimiwe na wote

Niliwahi kuandika kuuliza' Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Mimi ni Mkristo Mkatoliki, niliwahi kuandika kitu kulishauri Kanisa langu Katoliki Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?
Merry Christmas
P.
 
S
Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣

Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya ukeleketwa kwenye siasa.

Ewe mtumishi wa Mungu hebu Chagua Moja siasa au utumishi wa Mungu
Siasa na utumishi havitenganishwi,kanisa na msikiti vyote vinakemea dhambi iwe majumbani,kazini,serikalini na kwenye siasa,Sasa utazuiaje mashekhe na maaskofu wasiikemee dhambi,pale alipo mwanadamu lazima akemewe asitende dhambi
 
Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣

Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya ukeleketwa kwenye siasa.

Ewe mtumishi wa Mungu hebu Chagua Moja siasa au utumishi wa Mungu
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Yaani inafikia wakati watumishi wanakemea mauaji na wanaonekana wanakosea kweli jamani?

Ina maana hii nchi tulipofikia ndio hapa? mtu akikataa kua chawa anaonekana hafai.
 
Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣

Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya ukeleketwa kwenye siasa.

Ewe mtumishi wa Mungu hebu Chagua Moja siasa au utumishi wa Mungu
Utumishi wa Mungu bila ya kukemea maovu wanayotendewa wanadamu(waumini wake wakiwa included) huo siyo utumishi, hao ambao wanaaminiwa na waumini wao they must speak out kupambana na huu upumbavu wa raia wakandamizwe, watekwe, wafirwe na wauawe halafu iwe smooth ride kwa wanasiasa kwa kuwa wanaofanyiwa hayo madhila pakitokea watu wa kuwasaidia kupaza sauti wanasiasa wanatumia chawa(wewe ni mmoja wa hao chawa) kuzima sauti zinazowasaidia hao wasio na platforms za kupazia sauti.
Watu wanaoaminiwa katika jamii wote wawe wanapaza kukemea maovu.
 
Na Yule aliyesema atakata vichwa vya waandamanaji mbona hajakemewa? Pumbavuuu zenuuu CCM
Wanaposema kukemewa wanamaanisha tu wale wanaopinga unyama, uharamia, utekaji, ufiraji na uuaji unaofanywa na askari wa Samia au wanaopinga ufisadi wa watawala lakini uki-support hayo maovu hawana shida na wewe.
 
Utumishi wa Mungu bila ya kukemea maovu wanayotendewa wanadamu(waumini wake wakiwa included) huo siyo utumishi, hao ambao wanaaminiwa na waumini wao they must speak out kupambana na huu upumbavu wa raia wakandamizwe, watekwe, wafirwe na wauawe halafu iwe smooth ride kwa wanasiasa kwa kuwa wanaofanyiwa hayo madhila pakitokea watu wa kuwasaidia kupaza sauti wanasiasa wanatumia chawa(wewe ni mmoja wa hao chawa) kuzima sauti zinazowasaidia hao wasio na platforms za kupazia sauti.
Watu wanaoaminiwa katika jamii wote wawe wanapaza kukemea maovu.
Wanaenda kinyume na viapo vyao vya utumishi wa Mungu ndo maana wanapuuzwa, wanaishia kuandikwa kwenye page za chadema tu.,
 
Wewe ndiyo unayepuuzwa na si wao, and for your information wataendelea kupaza sauti zao bila kikomo. Hao wanaoahidi kuchinja raia wala hamna shida nao, wale wanaokubali kuitwa na wanasiasa ili wawashawishi waumini wao kwenye mambo yanayowafurahisha watawala hapo huwa mnakubaliana nao. Wengine wanajitambuaso they can't be used by politicians.
 
Mtumishi wa Mungu kuamini kuwa ndani ya nyumba ya Mungu kuna wafuasi wa mlengo mmoja wa kisiasa ni upumbavu
 
Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣

Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya ukeleketwa kwenye siasa.

Ewe mtumishi wa Mungu hebu Chagua Moja siasa au utumishi wa Mungu
Wanasikilizwa kuliko wewe chawa. Wewe ndo unapuuzwa maana huna hoja
 
Hoja ni nzuri nami pia naungana na wewe ila najiuliza umesukwamwa na upande upi wanaokosoa au wanaosifia tuwe wazalendo kwa taifa letu tukumbushane uelewa wawatu umeongezeka sana wanajua mapungufu yapande zote
 
Back
Top Bottom