Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

Asante kaka je Kodi ya 100K Kwa huo mshahara ni sahihi maana Niko town niliwaza nipunguze nitafute hata nyumba hata ya ovyo ya 40 Kodi ili nipate muda wa kuutuliza kichwa
wewe hujajieleza vya kutosha--- lakini kama maelezo yako ni kweli - inabidi kidogo uishi maisha ya kijeshi-- wewe ndo unaona uhalisia huko mkuu kikubwa jitahidi vitu kununua kwa jumla na punguza matumizi yasio na maana, wife nae hapo kitaa atafutiwe biashara hata kuchoma maandazi/chapati. Hapa hakuna namna. Ila ukiishi kifalme hapa mwanzoni itakua changamoto.

Na sehemu ulipo kama kuna nafasi jogoo 1 na mtetea 1 asikose.

Kama kweli umevurugwa ni mchakamchaka hapa mwaka mmoja.
 
N
Umeongea fact kabisa
Daftari muhimu Tena litamsaidia sana Nina vinotebook vya kutosha kilamwez ni mahesabu makali😀maisha yanatak uwe serious
NIlianza hivyo mwanzoni ila nikaona kama namtesa mke wangu ila ilinisaidia.

Nilipoacha nimejikuta kwenye madeni Hela hazikai.

Mpaka nahisi nimelogwa itabidi nirudi Tena

Kwanza anayekwamisha maendeleo yangu ni huyu mke wangu

Maana kuna kipindi nilimwambka aniambie kiasi chake Cha siku Kwa chakula maana vitu vya muhimu vyote viko ndani akawa ananijibu upuuzi nilitamani nimpige.

Maana Mimi niliwahi kujitolea sehemu nilikuwa nalipwa laki 3 na ilinitosha yeye hana bajeti mwezi hauishi Hela inaisha yaani ana rough bajeti mpaka kuna muda nimeamua nikae na Hela niwe nampa kila asubuhi.
 
Kwenye hiyo laki nanusu ongeza mboga za nafaka maharage kama choroko na dagaa ikiwezekana kma mnatumia

Nimeishi kijijini sikuwa natumia hata Laki na nusu Kwa mwezi Yani kilakitu na nilisurvive now Niko mjini nakula nachotaka Sina stress saa bajet inaongezeka ila nikiamua inakaa sawa so kilakitu ni wewe unavoamua Kuishi kulingana na kipato chako kma unamalengo jibane
 
Asante Kwa ushauri kaka unahisi kipi ninaficha ninaweza kufunguka
 
Umeongea fact kabisa
Daftari muhimu Tena litamsaidia sana Nina vinotebook vya kutosha kilamwez ni mahesabu makali😀maisha yanatak uwe serious
Naam naam, namba zitajionesha zenyewe. Mipango mahiri unasogea-- maana mshahara hata uwe 2M ukiutumbua hovyo myu wa 800k anafanya maendeleo wewe upo tu . Nakibaya unakua unajisifu nina mshahara mkubwa aisee🤣🤣
 
Asante Kwa ushauri je kama nikifanikiwa kununua vitu vyote hivyo nikimwachia elfu 5 Kwa siku nakosea maana ananiambia haitoshi?
 
Wako mjini sema watoto tulkubaliana tuwe tunatumia laki Moja kila mwezi japo Mimi nilioona Bora nifanye ushauri kama wako wa biashara na hapo yenyewe natumaga 50K Tena wanalalamika haiwatoshi
 
Asante Kwa ushauri kaka unahisi kipi ninaficha ninaweza kufunguka
NO mkuu yani ni kama nimesisitiza tu taarifa muhimu uainishe, naamini wadau watasaidia mawazo--- mfano vitu kama working hours -- hapa watu wanaweza kuonesha fursa za afterworks kama muda unakuwepo distance ya home na kazini "" ili kuangalia rooms za bei nafuu ujiposition namna ipi-- but kikubwa sana kulimit matumizi hewa na starehe zisizo na msingi
 
Mimi kazini natembea nafanya afya so sifanyi shift za jumatatu ijumaa Bali kuna siku nakuwa mchana kuna siku naingia asubuhi na night pia k
Kazini kwangu ni makao ni mjini ya mkoa hivyo hata Kodi zimechangamka japo ninaweza kutafuta chini ya hapo
 
Asante kaka je Kodi ya 100K Kwa huo mshahara ni sahihi maana Niko town niliwaza nipunguze nitafute hata nyumba hata ya ovyo ya 40 Kodi ili nipate muda wa kuutuliza kichwa
Kwanini ukae nyumba ya ovyo? Pesa haitoshi na haijawahi kutosha.....waza kuongeza kipato...... Kama mke hana kazi mtafutie kishughuli cha kufanya upunguze mzigo kwa kiasi
 
Unanifurahisha naomba niufuate ushauri wako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…