una mrija wa wizi? kamahuna usishangaeHabari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
We una wenge, unataka kutoboa nini. Tuliza makalioHabari za jioni.

Maana nimeshangaa unavyolialia! Unafikri wale jamaa wanalinda kwenye vituo vya mwendokasi wanalipwa bei gani? Ofisini kwetu kuna vijana wanalipwa laki 3 lakini wapo jijini wanaishi, sasa wewe mkuu una laki 6 kabisa! Kuwa na Shukrani kwa Mungu aisee!Hapana siwezi kuacha kazi nimeitafuta muda mrefu sana.
Nina familia
Basi huyo mkeo anakupiga kibuti! Haiwezekani huko mikoani elfu 5 iishe kwa ajili ya mboga tu ya watu wawili! Atakuwa anacheza kikoba huyo! Kwani lazima kila siku ule nyama boss? Kuna siku zingine ukinunua dagaa na viungo kama nyanya, vitunguu elfu 3 haiishi?Namkabidhi waifu 150K Kwa kigezo Cha kutumia elfu 5 Kila siku ya mboga na hapa nishagombana nae maana unakuta mwezi hauishi Hela imekata.
KUna watu mishahara yao ina makato na wanalipwa chini ya laki2 kwa mwezi na hawajawahi kulalamikaHabari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu.
Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Umesema ni ajira mpya ..je kabla ya hiyo ajira kipato chako kilikuwa sh ngapi kwa mwezi ?Habari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Huyu π kesha proof upumbavu wake ni nini ?ππππ..jomba tatizo lako siyo pesa tatizo lako ni upumbavu kichwani mwakoMaisha yamekua ghari hiyo hela ni ndogo, mi mwezi haujaisha ila nishatumia 1.5+, kuliko kua na stress, waza jinsi ya kuongeza kipato
View attachment 3315841
Una Akili za kike na wewe ni chanzo cha matatizo ndani ya familia yako huko unako tuma hiyo laki moja kila mweziHabari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Ninyi ni waninga sana yaani mnakubaliana tuu kuwa mtakuwa mnatuma laki nyumbani bila sababu!? Vipato vyenu Vinafana, tuma endapo kuna dharura au ugonjwa tuu mwisho sio kila mwezi. Gombana na hao ndugu zako ndipo utaendelea. Watu ni wakongwe kazini lakini hatuna huo utaratibu wa kutuma kila mwezi bali ni penye uhitaji, dharura na wakati ambao mwenyewe nafsi yangu imeamua tuu niwakumbuke wazazi.Wako mjini sema watoto tulkubaliana tuwe tunatumia laki Moja kila mwezi japo Mimi nilioona Bora nifanye ushauri kama wako wa biashara na hapo yenyewe natumaga 50K Tena wanalalamika haiwatoshi
una mke mwizi mkuu angalia mm hapaππππππππHabari za jioni.