Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Well Noted Mkuu kumbukumbu muhimu hizi...leo na kesho
 
marehemu anapaishwa tu,wapo watu waliofanya Mambo makubwa lkn hawjitangazi ,wengine kwa Sasa ni wazee mno na wapo hai ,na ni maarufu mno kwa upande wa siasa lkn walikuwa ni watu wa deepstate lkn hawajitangazi Kama huyu jamaa.ushamba tu.
 
Vita ilikuwa imekwisha. Ilikuwaje?
Nashangaa!!anawasahau akina mzee JM walioenda kumpeleleza Idd amini katikati ya uhasama ,muda mchache kabla ya Vita kamili kuanza ,akaingia Hadi ikulu ya amini ,wakala na kunywa na amini ,kumbe ameenda kudukuliwa info.wapo waliofanya Mambo makubwa ,sio huyu membe !!
 
Tumia akili hata za kuzaliwa tu mkuu..hv inaingia akilini raia aishawishi serikali imuondolee Lissu mshahara na serikali ikubali ??? Hv serikali ikitumia wahuni kufanya uhuni unaiondoaje serikali kwenye huo upimbi??? Mungu wa Lissu aliamua kuivua nguo ccm na serikali yake

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Akikujibu unistue, umempiga na kitu kizito utosini [emoji12][emoji23] eti serikali haiusiki .. shenzi kbs

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 

Tutajie kiongozi
 
Every one in this country seems to know TISS a lot

Goddammit mnaijua TISS kweli.?
Why shouldn't every Tom, Dicken and Harry know members of TISS If the guys feel so proud to brag about it?
πŸ˜… ... we no longer have a secret service in Bongo!
TISS is just a group of well-paid and feared servicemen!
 
Makasiriko

Lakini mbona wala si ajabu kule Marekani ni kawaida kusikia Mike Pompeo was a former CIA director, Blinken naye anatajwa hivo hivo, nongwa iko wapi?
 
Acha utoto wewe jiongeze kidogo tu(japo najua unajichetua) kwa Nini serikali ya magufuli iligoma kbs uchunguzi usifanyike? Nadhani ili kuweka wazi kwamba serikali haikuhusika basi chap magufuli angeanzisha uchunguzi kuwabaini hao wanaotaka kumchafua why hakufanya hivyo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…