Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Dr. Mahiga alikaimu Ukurugenzi wa Idara ya Usalama (enzi hizo kitengo cha Ikulu, kabla TISS haijaanzishwa rasmi kisheria).

Na alikuwa ni sehemu ya timu iliyopangua jaribio la kumpindua Nyerere miaka ya mwanzo ya 1980s.

Ukisoma kesi ya uhaini iliyotokana na jaribio hilo la Mapinduzi, Dr. Mahiga alikuwa shahidi aliyepewa jina la "Mr. X".

Baada ya hapo alipelekwa nje sana, Canada, Uswizi, Liberia, India, Italy, akifanyia kazi mashirika ya UN kama UNHCR na serikali ya Tanzania, kabla ya kupewa ubalozi kamili na rais Mkapa na kutumikia kama Muwakilishi wa Tanzania katika UBalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York City, kuanzia mwaka 2003, kisha akarudi kufanya kazi Umoja wa Mataifa kama Muwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa Somalia, kisha akaja kugombea urais Tanzania, na baadaye akateuliwa na Magufuli kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, kisha Waziri wa Sheria, mpaka mauti yalipomkuta.

Alivyokuwa Usalama, tukiwa wadogo, tulikuwa tunajua Mzee Mahiga anafanya kazi muhimu Ikulu, lakini hatukuwahi kujua kama alikuwa bosi wa Usalama wa Taifa.

Alijiweka kuwa kama mtu wa kawaida sana.

Mpaka alivyokuja kuw balozi alikuwa anajichanganya sana na Watanzania kwa unyenyekevu mzuri tu kama mtumishi wa serikali.
Well Noted Mkuu kumbukumbu muhimu hizi...leo na kesho
 
Mission za kitaifa na kimataifa alizoshiriki membe nikikutajia utalia machozi kwa kumsimanga : mwaka 1983 akifanya analysis ya impact ya vita ya uganda aliponea chupu kuuwawa mbarara uganda acheni ujinga kuna watu wameitumikia nchi hii kuliko mbuzi wengi wa facebook mlioko humu.
marehemu anapaishwa tu,wapo watu waliofanya Mambo makubwa lkn hawjitangazi ,wengine kwa Sasa ni wazee mno na wapo hai ,na ni maarufu mno kwa upande wa siasa lkn walikuwa ni watu wa deepstate lkn hawajitangazi Kama huyu jamaa.ushamba tu.
 
Vita ilikuwa imekwisha. Ilikuwaje?
Nashangaa!!anawasahau akina mzee JM walioenda kumpeleleza Idd amini katikati ya uhasama ,muda mchache kabla ya Vita kamili kuanza ,akaingia Hadi ikulu ya amini ,wakala na kunywa na amini ,kumbe ameenda kudukuliwa info.wapo waliofanya Mambo makubwa ,sio huyu membe !!
 
Wewe unaona kuzima Kamera ni dili sana kwamba ni lazima lifanywe na wahusika wa eneo?
Kama kamera zisingezimwa, waliokuwa wamesudia kuichafua Serikali wasingefanikiwaje sasa kuichafua Serikali?
Eneo lilikuwa linalindwa na Security guards na si Polisi
Kwa nini baada ya kushambuliwa, TL hakupelekwa kwenye matibabu kama alivyostahili?
Kwa nini mshahara wake ulisitishwa? Unadhani kwa sababu waliokuwa wanafanya hivi walikuwa ni Serikali?
Mshahara ulisitishwa kwa nia moja tu kwamba ili ijulikane kuwa mhusika alikuwa ni Serikali. Amka bado uko usingizini
Kwenye hili naomba usininibishie kwa sababu nina data zaidi ya hizi ila siwezi kuziandika hapa
Tumia akili hata za kuzaliwa tu mkuu..hv inaingia akilini raia aishawishi serikali imuondolee Lissu mshahara na serikali ikubali ??? Hv serikali ikitumia wahuni kufanya uhuni unaiondoaje serikali kwenye huo upimbi??? Mungu wa Lissu aliamua kuivua nguo ccm na serikali yake

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Huna unalojua kabisa kama serikali haihusiki hao wanaochafua serikali waliokamatwa lini?

Kama serikali haihusiki kwanini ikatae kulipa stahiki za kiafya kama sheria inavyotaka?

Kama serikali haihusiki kwanini hakuna uchunguzi mpaka Leo?

Kama serikali haihusiki kwanini Ile Nissan Patrol haijakamatwa mpaka Leo?

Kama serikali haihusiki raia wa kawaida anaweza vamia eneo la viongozi wa serikali na akatoka salama? Maadam umesema ni amateurs Ina maana wameacha traces nyingi Sasa how comes hawajakamatwa?

Maana unavyoongea ni kana kwamba mtu akiuwawa na kikundi kisicho Cha serikali basi haitakiwi serikali kuchunguza.... Kwani Hawa majambazi wanaokamatwa Kila siku huwa wanatumwa na serikali?

We hubiri wasabato wenzio huko Kigamboni mambo ya siasa huelewi.
Akikujibu unistue, umempiga na kitu kizito utosini [emoji12][emoji23] eti serikali haiusiki .. shenzi kbs

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Mission za kitaifa na kimataifa alizoshiriki membe nikikutajia utalia machozi kwa kumsimanga : mwaka 1983 akifanya analysis ya impact ya vita ya uganda aliponea chupu kuuwawa mbarara uganda acheni ujinga kuna watu wameitumikia nchi hii kuliko mbuzi wengi wa facebook mlioko humu.

Tutajie kiongozi
 
Every one in this country seems to know TISS a lot

Goddammit mnaijua TISS kweli.?
Why shouldn't every Tom, Dicken and Harry know members of TISS If the guys feel so proud to brag about it?
😅 ... we no longer have a secret service in Bongo!
TISS is just a group of well-paid and feared servicemen!
 
Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya usalama wa Taifa kwa manufaa yenu binafsi? Imekuwa too- much sasa kila anapotajwa Membe na TISS lazima ihusishwe as if yeye ndiye Raia wa Kwanza nchini Tanzania kuwa mwajiliwa wa TISS au wa mwisho!

Sitaki kuamini kuwa yeye alikuwa Waziri wa kwanza au mwanasiasa wa kwanza kuwa mtumishi wa idara ya usalama wa taifa (TISS) na wala sitaki kuamini kuwa hakuna watumishi wa TISS waliostafu nje ya Marehemu Membe! ila sasa hii kuwa Usalama wa Taifa haikupi ticket yawewe kufanya utakavyo kwa mgongo wa TISS wala haikupi ticket yawewe kila unapopata nafasi ya juu kujitutumia na Utiss wako.
Makasiriko

Lakini mbona wala si ajabu kule Marekani ni kawaida kusikia Mike Pompeo was a former CIA director, Blinken naye anatajwa hivo hivo, nongwa iko wapi?
 
Lemutuz pia alikua kachero
Kachero 'THANOS'! 😅
1684213344273.jpeg
 
Walikuwa ni amateurs waliokuwa na nia ya kuichafua Serikali. Ikumbukwe kuwa swala la Makinikia ambalo ndiyo lilitumika kama kigezo cha TL kumiminiwa risasi, lilibuniwa na wajanja wachache kwa nia ya kuichanganya Serikali ya JPM. Wabunifu wa Makinikia
KIXI
Acha utoto wewe jiongeze kidogo tu(japo najua unajichetua) kwa Nini serikali ya magufuli iligoma kbs uchunguzi usifanyike? Nadhani ili kuweka wazi kwamba serikali haikuhusika basi chap magufuli angeanzisha uchunguzi kuwabaini hao wanaotaka kumchafua why hakufanya hivyo???
 
Back
Top Bottom