Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Naomba tutajie basi ili na sisi tuwe na uelewa kama wako lakini pia angalau tumuelewe vizuri tunaposikia kuwa ni TISS Mbobezi.
 

Shida yako ni kuwa unachukulia as personal attack, ww umemjua ukiwa wapi bwana? When na mwaka gani?
 
Mbona umemsahau Dr. Khalid, Generali Imran Kombe!!
 
Bado analysisi yako hapa ina-support statement yangu kwamba Serikali haikuhusika, especially JPM!
Uhusika wake unakuja kwa kutochukua hatua. Kumbuka umesema walioenda muua Lissu ni amateur's Ili kuichafua serikali Sasa kama ni hivyo why serikali isikamate hao amateurs Ili kuwafungulia kesi ya "kuwachafua"?

Nimeuliza maswali mengi sana kuanzia stahiki, kufukuzwa ubunge, zuio la mahakama kupuuzwa, kesi kutochunguzwa, Nissan patrol kutokamatwa n.k. hayo yote Yana prove serikali imefanya COVER UP hivyo imehusika.
 
Shida yako ni kuwa unachukulia as personal attack, ww umemjua ukiwa wapi bwana? When na mwaka gani?
Personal attack kivipi? Huyo Membe wako hakuwa lolote. Balozi Mahiga alikuwa jasusi kweli kweli lakini alikuwa hajikwezi kama huyo Membe wako.
 
Vipi umeshaenda kuzika!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…