Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Mission za kitaifa na kimataifa alizoshiriki membe nikikutajia utalia machozi kwa kumsimanga : mwaka 1983 akifanya analysis ya impact ya vita ya uganda aliponea chupu kuuwawa mbarara uganda acheni ujinga kuna watu wameitumikia nchi hii kuliko mbuzi wengi wa facebook mlioko humu.
Naomba tutajie basi ili na sisi tuwe na uelewa kama wako lakini pia angalau tumuelewe vizuri tunaposikia kuwa ni TISS Mbobezi.
 
Hayo ni maneno tu sisi tunayemjua alikuwa junior matupu. Ndio maana hata wewe unakuja hapa na maneno tu. Niambie alikuwa Mkurugenzi wa Kurugenzi ipi hapo Idarani? Angekuwa mbobezi kama Balozi Mahiga naona mngesema sana! Balozi Mahiga pamoja na ubobezi wake lakini alikuwa very humble!!

Shida yako ni kuwa unachukulia as personal attack, ww umemjua ukiwa wapi bwana? When na mwaka gani?
 
Kwa mbulula wa humu ukitaja dgi wa eagle kuanzia mzee emilio mzena ,laurensi gama,hassy kitine, balozi augustine mahiga ,kornel apson mwangonda,RO rashid othman,mchungaji pasta wa bot na nida,msuya,na huyu wa sasa. Membe alikuwa level za hao seniors idara ya recruitment ambayo ndio ya uzalishaji wa majasusi na msiofahamu aliekuwa dgi wakati wa magufuli mchungaji alitengenezwa na hayati membe na membe alitengenezwa na laurensi gama ! Mbuzi nyie !
Mbona umemsahau Dr. Khalid, Generali Imran Kombe!!
 
Bado analysisi yako hapa ina-support statement yangu kwamba Serikali haikuhusika, especially JPM!
Uhusika wake unakuja kwa kutochukua hatua. Kumbuka umesema walioenda muua Lissu ni amateur's Ili kuichafua serikali Sasa kama ni hivyo why serikali isikamate hao amateurs Ili kuwafungulia kesi ya "kuwachafua"?

Nimeuliza maswali mengi sana kuanzia stahiki, kufukuzwa ubunge, zuio la mahakama kupuuzwa, kesi kutochunguzwa, Nissan patrol kutokamatwa n.k. hayo yote Yana prove serikali imefanya COVER UP hivyo imehusika.
 
Shida yako ni kuwa unachukulia as personal attack, ww umemjua ukiwa wapi bwana? When na mwaka gani?
Personal attack kivipi? Huyo Membe wako hakuwa lolote. Balozi Mahiga alikuwa jasusi kweli kweli lakini alikuwa hajikwezi kama huyo Membe wako.
 
Uhusika wake unakuja kwa kutochukua hatua. Kumbuka umesema walioenda muua Lissu ni amateur's Ili kuichafua serikali Sasa kama ni hivyo why serikali isikamate hao amateurs Ili kuwafungulia kesi ya "kuwachafua"?

Nimeuliza maswali mengi sana kuanzia stahiki, kufukuzwa ubunge, zuio la mahakama kupuuzwa, kesi kutochunguzwa, Nissan patrol kutokamatwa n.k. hayo yote Yana prove serikali imefanya COVER UP hivyo imehusika.
Vipi umeshaenda kuzika!!?
 
Back
Top Bottom