Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Muwr mnaficha ujinga wenu kujitia mnajua huku ni zero
 
Baada kuomba kuingia ubunge ....period....
 
Dgi ndo nn we mzee?
 
Huna ujuacho kazi ya baba sio yako
 
Yeye mwenyewe ndiye aliyejitangaza kipindi anatangaza Nia kitu ambavyo sio maadili ya usalama wa Taifa hata hivyo mm siamini kama kweli alikuwa ni Kachero
Marekani maafisa wastaafu wa CIA wa ngazi za chini wanajitangaza na wanaonyesha hiyo kama sehemu ya uzoefu katika wasifu wao wanapoomba kazi za ulinzi/usalama mashirika binafsi na katika kusaka vyeo vya kisiasa. Mambo mengine ni ushamba tu unasumbua wabongo. Hakuna tija yoyote kufichaficha mambo mengi ya TISS.
 
Walitaka aogpwe,wahuni wamepita nae kwa aibu sana,kabanwa kifua,nimecheka balaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wizi wa pesa za Libya kisha kumuua balozi wa Libya
 
Haya tuendelee
 
Aaah mkuu twende taratibu ni kama naisikia sauti yako ila kwa taabu sana😅
 
Jiwe alilifanyia nini Taifa hili ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
ila sasa hii kuwa Usalama wa Taifa haikupi ticket yawewe kufanya utakavyo kwa mgongo wa TISS wala haikupi ticket yawewe kila unapopata nafasi ya juu kujitutumia na Utiss wako.
Inabidi hapa utumie akili na ujiongeze pia. Yanayoendelea sasa bila shaka hayafanywi kwa maelekezo ya yeye Membe kwa kuwa ameshafariki. Je ni kwanini hao walio hai wanamfanyia hivyo. Vinginevyo utuambie kama Membe anaendelea kutumia utiss wake kuamrisha walio hai wamfanyie vipi kwenye mazishi yake. Tafakari!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…