sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Muwr mnaficha ujinga wenu kujitia mnajua huku ni zeroKwa mbulula wa humu ukitaja dgi wa eagle kuanzia mzee emilio mzena ,laurensi gama,hassy kitine, balozi augustine mahiga ,kornel apson mwangonda,RO rashid othman,mchungaji pasta wa bot na nida,msuya,na huyu wa sasa. Membe alikuwa level za hao seniors idara ya recruitment ambayo ndio ya uzalishaji wa majasusi na msiofahamu aliekuwa dgi wakati wa magufuli mchungaji alitengenezwa na hayati membe na membe alitengenezwa na laurensi gama ! Mbuzi nyie !