Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Kwa mbulula wa humu ukitaja dgi wa eagle kuanzia mzee emilio mzena ,laurensi gama,hassy kitine, balozi augustine mahiga ,kornel apson mwangonda,RO rashid othman,mchungaji pasta wa bot na nida,msuya,na huyu wa sasa. Membe alikuwa level za hao seniors idara ya recruitment ambayo ndio ya uzalishaji wa majasusi na msiofahamu aliekuwa dgi wakati wa magufuli mchungaji alitengenezwa na hayati membe na membe alitengenezwa na laurensi gama ! Mbuzi nyie !
Muwr mnaficha ujinga wenu kujitia mnajua huku ni zero
 
Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya usalama wa Taifa kwa manufaa yenu binafsi? Imekuwa too- much sasa kila anapotajwa Membe na TISS lazima ihusishwe as if yeye ndiye Raia wa Kwanza nchini Tanzania kuwa mwajiliwa wa TISS au wa mwisho!

Sitaki kuamini kuwa yeye alikuwa Waziri wa kwanza au mwanasiasa wa kwanza kuwa mtumishi wa idara ya usalama wa taifa (TISS) na wala sitaki kuamini kuwa hakuna watumishi wa TISS waliostafu nje ya Marehemu Membe! ila sasa hii kuwa Usalama wa Taifa haikupi ticket yawewe kufanya utakavyo kwa mgongo wa TISS wala haikupi ticket yawewe kila unapopata nafasi ya juu kujitutumia na Utiss wako.
Baada kuomba kuingia ubunge ....period....
 
Kwa mbulula wa humu ukitaja dgi wa eagle kuanzia mzee emilio mzena ,laurensi gama,hassy kitine, balozi augustine mahiga ,kornel apson mwangonda,RO rashid othman,mchungaji pasta wa bot na nida,msuya,na huyu wa sasa. Membe alikuwa level za hao seniors idara ya recruitment ambayo ndio ya uzalishaji wa majasusi na msiofahamu aliekuwa dgi wakati wa magufuli mchungaji alitengenezwa na hayati membe na membe alitengenezwa na laurensi gama ! Mbuzi nyie !
Dgi ndo nn we mzee?
 
Utabaki na ujinga wako post war impact za military analysts baada ya vita zinafanyika kwa karne moja sembuse miaka mitano? Kumbuka nchi hasimu zinaendelea kuchunguzana mpaka kizazi kilichoshuhudia vita kipite na wajiridhishe kwamba mambo ni shwari sema nyie vijana mliozaliwa mwaka 2000 hamyajui haya.
Huna ujuacho kazi ya baba sio yako
 
Yeye mwenyewe ndiye aliyejitangaza kipindi anatangaza Nia kitu ambavyo sio maadili ya usalama wa Taifa hata hivyo mm siamini kama kweli alikuwa ni Kachero
Marekani maafisa wastaafu wa CIA wa ngazi za chini wanajitangaza na wanaonyesha hiyo kama sehemu ya uzoefu katika wasifu wao wanapoomba kazi za ulinzi/usalama mashirika binafsi na katika kusaka vyeo vya kisiasa. Mambo mengine ni ushamba tu unasumbua wabongo. Hakuna tija yoyote kufichaficha mambo mengi ya TISS.
 
Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya usalama wa Taifa kwa manufaa yenu binafsi? Imekuwa too- much sasa kila anapotajwa Membe na TISS lazima ihusishwe as if yeye ndiye Raia wa Kwanza nchini Tanzania kuwa mwajiliwa wa TISS au wa mwisho!

Sitaki kuamini kuwa yeye alikuwa Waziri wa kwanza au mwanasiasa wa kwanza kuwa mtumishi wa idara ya usalama wa taifa (TISS) na wala sitaki kuamini kuwa hakuna watumishi wa TISS waliostafu nje ya Marehemu Membe! ila sasa hii kuwa Usalama wa Taifa haikupi ticket yawewe kufanya utakavyo kwa mgongo wa TISS wala haikupi ticket yawewe kila unapopata nafasi ya juu kujitutumia na Utiss wako.
Walitaka aogpwe,wahuni wamepita nae kwa aibu sana,kabanwa kifua,nimecheka balaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mission za kitaifa na kimataifa alizoshiriki membe nikikutajia utalia machozi kwa kumsimanga : mwaka 1983 akifanya analysis ya impact ya vita ya uganda aliponea chupu kuuwawa mbarara uganda acheni ujinga kuna watu wameitumikia nchi hii kuliko mbuzi wengi wa facebook mlioko humu.
Wizi wa pesa za Libya kisha kumuua balozi wa Libya
 
Naomba nikujibu hivi; maafisa usalama wa kawaida ni hawa ma rso na dso na wa chini kabisa ni wale wanaosimamia mitihani ya la nne la sana form two form four na wale walioko nectar wanaotisha walimu wa Mpwayungu Village kila siku bernard camilius membe alishapita level hizo toka mwaka 1980 na kimsingi hakuwahi kuwa huko chini kwa taarifa yako wakati waziri mkuu mizengo kayanza peter pinda akiwa mkuu wa usalama wa ikulu wakati wa nyerere membe tayari alishakuwa ndani ya ofisi ya rais mchambuzi wa mifumo ya ulinzi na usalama wa nchi set up unayoiona leo nje ya nchi na ndani pokea hiyo. Itoshe kusema mizengo pinda alilinda ikulu na familia ya nyerere na membe alilinda taifa nchi !
Haya tuendelee
 
Niko hapa S....L napata Al Kasus....mzee mmoja anatudadavulia mambo kuhusu hayati Membe....anasema.....

Hao wasiojulikana ni wale wafafuta habari.....

Hao wasiojulikana ni wale waliopo katika operesheni.....

Hao wasiojulikana ni wale WACHAKATA HABARI waliopo maofisini kwao.....

Wale MaTop DG ,DEPUTY wake WANAFAHAMIKA....

Wale wanadiplomasia wako wanaofahamika na wachache....na wako wasiofahamika kabisa......

Huko nyuma hayati Membe alikuwa anafahamika na wachache kwani ameshawahi kuwa MKUU WA CHUO CHA DIPLOMASIA(kawaida kwa mawaziri wa mambo ya nje) na waliokuwa wanamfahamu ni wale waliokuwa wanadili na mambo ga sheria+DIPLOMASIA....mitaani hakujulikana....alikuja kujulikana na wengi miaka michache iliyopita tena kwa KUSEMA MWENYEWE.....

Unakumbuka hayati JPM alipata kumtambulisha DG mstaafu Diwani Athumani Msuya kwa balozi S.SIRRO akiwa IGP kuwa huyo naye ndio "haohao"?!!!!Sirro akatoa macho tu[emoji1787][emoji1787]

Hapa ni kuwa Diwani Athumani alishafika nafasi za kuweza kujulikana na kila mtu hata mtoto [emoji1787][emoji1787]

Huyu mzee ananitemea haya madini huku vichupa vya kahawa vya shilingi 500 vikiendelea kushambuliwa hapa.....leo ninaweza KUCHELEWA kurudi kwangu kwa Mtogole.....
Aaah mkuu twende taratibu ni kama naisikia sauti yako ila kwa taabu sana😅
 
Mission za kitaifa na kimataifa alizoshiriki membe nikikutajia utalia machozi kwa kumsimanga : mwaka 1983 akifanya analysis ya impact ya vita ya uganda aliponea chupu kuuwawa mbarara uganda acheni ujinga kuna watu wameitumikia nchi hii kuliko mbuzi wengi wa facebook mlioko humu.
Jiwe alilifanyia nini Taifa hili ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
ila sasa hii kuwa Usalama wa Taifa haikupi ticket yawewe kufanya utakavyo kwa mgongo wa TISS wala haikupi ticket yawewe kila unapopata nafasi ya juu kujitutumia na Utiss wako.
Inabidi hapa utumie akili na ujiongeze pia. Yanayoendelea sasa bila shaka hayafanywi kwa maelekezo ya yeye Membe kwa kuwa ameshafariki. Je ni kwanini hao walio hai wanamfanyia hivyo. Vinginevyo utuambie kama Membe anaendelea kutumia utiss wake kuamrisha walio hai wamfanyie vipi kwenye mazishi yake. Tafakari!
 
Back
Top Bottom