Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Yaani ufanye kazi CIA halafu unapostaafu uende kuwa mlinzi wa Suma JKT?????

Unaielewa CIA wewe???????

Kwa kweli Pombe na bangi zinawasumbua sana baadhi ya watu.
 
membe alishafanya kazi hiyo ofisi na sijui ni kitu gani watu mnashindwa kuelewa. kwani tatizo ni nini? mbona tunao ndugu zetu wengi tu wanafanya kazi ofisi hiyo, wanaamka asubuhi wanaenda kazini hapo na jengo wanaloenda linafahamika? tatizo mmekariri kuwa tiss ni watu wa kificho wote, wengine wanafanya kazi kawaida tu, kwani mbona kila mkoa kuna ofisi/jengo la tiss, mnafikiri mle ndani wapo mashetani au misukule?
 
Hayo majasusi mabobezi akina membe kwanini hawakujenga flyover kwa miaka sitini watu wanataabika na kukanyagana kwa foleni?
 
Unless you have a proof don't spit it.
Ah bwana weee [emoji851] hebu kwenda zako huko! [emoji851]

Hayo majizi ya msoga yanayojiita majasusi hayana lolote, ujinga mtupu.

Bora Magufuli alitujengea FLYOVER tunapita na kuteleza kwa raha mustarehe. [emoji39][emoji39]

Jizi la msoga linakenua tu na kuchezea BEMBEA, Alhamdulilah kibaka mwenzake kadedi.
 
mwaka 1983 akifanya analysis ya impact ya vita ya uganda.
Analysis ya impact ya vita ya Uganda hata mtoto wa FORM TWO anafanya. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kipi cha ajabu hapo chenye hadhi ya kijasusi? Mmejaa ushamba wa kitanganyika pamoja na elimu duni.

Impact of Uganda war? Kazi ya kitoto ya FORM TWO [emoji18]

Nyie majasusi uchwara ndio maana Magufuli alikuwa anawadharau tu. Akili hamna.

Hata kujenga FLYOVER hamuwezi, mmekazana na ma-theories ya Uganda war.

Watu wanataka chakula na maendeleo, sio hayo matakataka ya Uganda. [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Kaka hata JKT tu hawajafika!Acha huko mbali,kutwa kelele!

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Unamsifu chizi jpm aliyekujengea flyover ya ubungo darisalama unamsahau jakaya aliyeleta vyuo vikuu 50+ tanzania ambapo mpaka toto lako mbulula litasoma
 
Kapitie hata clip za mazishi yake...Dingi alikuwa TISS na amewahi kushika nafasi za juu tu.
Sio nafasi za juu!Alikuwa namba moja wa idara husika miaka 1980-1983.

Ndio maana tunashauri vijana kabla ya kutukana wajue hata kufika kwao leo miaka hii ni sababu ya uwepo wa watu kama hao,it is not a guarantee!

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
unamsahau jakaya aliyeleta vyuo vikuu 50+
Unazungumzia yale mavyuo ya kata na ya SENTI KAJAMBA?

Lichuo linaitwa AMAZON COLLEGE unategemea nini zaidi ya ushuzi mtupu!

Lile huni la msoga halijitambui, linakenua tu mijino nje. Halina utashi.

Cheki bwawa la Mwalimu Nyerere, ni kiboko [emoji39][emoji39] .. Huo ndo ujasusi unaotakiwa na sio hizo porojo za jizi la msoga [emoji851]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…