Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ufanye kazi CIA halafu unapostaafu uende kuwa mlinzi wa Suma JKT?????Marekani maafisa wastaafu wa CIA wa ngazi za chini wanajitangaza na wanaonyesha hiyo kama sehemu ya uzoefu katika wasifu wao wanapoomba kazi za ulinzi/usalama mashirika binafsi na katika kusaka vyeo vya kisiasa. Mambo mengine ni ushamba tu unasumbua wabongo. Hakuna tija yoyote kufichaficha mambo mengi ya TISS.
membe alishafanya kazi hiyo ofisi na sijui ni kitu gani watu mnashindwa kuelewa. kwani tatizo ni nini? mbona tunao ndugu zetu wengi tu wanafanya kazi ofisi hiyo, wanaamka asubuhi wanaenda kazini hapo na jengo wanaloenda linafahamika? tatizo mmekariri kuwa tiss ni watu wa kificho wote, wengine wanafanya kazi kawaida tu, kwani mbona kila mkoa kuna ofisi/jengo la tiss, mnafikiri mle ndani wapo mashetani au misukule?Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya usalama wa Taifa kwa manufaa yenu binafsi? Imekuwa too- much sasa kila anapotajwa Membe na TISS lazima ihusishwe as if yeye ndiye Raia wa Kwanza nchini Tanzania kuwa mwajiliwa wa TISS au wa mwisho!
Sitaki kuamini kuwa yeye alikuwa Waziri wa kwanza au mwanasiasa wa kwanza kuwa mtumishi wa idara ya usalama wa taifa (TISS) na wala sitaki kuamini kuwa hakuna watumishi wa TISS waliostafu nje ya Marehemu Membe! ila sasa hii kuwa Usalama wa Taifa haikupi ticket yawewe kufanya utakavyo kwa mgongo wa TISS wala haikupi ticket yawewe kila unapopata nafasi ya juu kujitutumia na Utiss wako.
Hayo majasusi mabobezi akina membe kwanini hawakujenga flyover kwa miaka sitini watu wanataabika na kukanyagana kwa foleni?Kwasababu archives hazijaruhusiwa kusimulia operation alizoshiriki wewe uzijue kuna watu wamefanya makubwa nchi hii mpaka ukisimuliwa unaogopa! Ndio maana magufuli alipoleta ujuaji idara ikamshangaa sana hasa top retirees wakashangaa huyu mwalimu wa kemistri wa secondary anatuletea ishu gani huku ....?
[emoji16][emoji16]Hata babalevo ni TISS wa miaka mingi tangu akiwa kigoma
Fala.......weweMission za kitaifa na kimataifa alizoshiriki membe nikikutajia utalia machozi kwa kumsimanga : mwaka 1983 akifanya analysis ya impact ya vita ya uganda aliponea chupu kuuwawa mbarara uganda acheni ujinga kuna watu wameitumikia nchi hii kuliko mbuzi wengi wa facebook mlioko humu.
akawa eliminated na MAJIZI yanayojiita majasusi [emoji16][emoji16]ndio maana akawa eliminated.
Unless you have a proof don't spit it.akawa eliminated na MAJIZI yanayojiita majasusi [emoji16][emoji16]
Akina membe na msoga [emoji851]
Mbona hii ni dhahiri.Sikumbuki vizuri kama wasifu wa Mahiga walisema alikuwa TISS anaekumbuka atujuze
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Eti alifanya analysis ya regulation after crisis masifa tu hamna lolote
Swaga za kishamba tuDSO
RSO
Hujulikana sana
PSU wote hujulikana,
Wengi wao Eagle akipumzika hurudishwa mikoani au makao makuu
Ah bwana weee [emoji851] hebu kwenda zako huko! [emoji851]Unless you have a proof don't spit it.
Mkuu hiyo picha kwenye ID yako inanikumbusha mbaali mno,..😂😂anajua yeye mwenyewe
Analysis ya impact ya vita ya Uganda hata mtoto wa FORM TWO anafanya. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwaka 1983 akifanya analysis ya impact ya vita ya uganda.
Kaka hata JKT tu hawajafika!Acha huko mbali,kutwa kelele!Mission za kitaifa na kimataifa alizoshiriki membe nikikutajia utalia machozi kwa kumsimanga : mwaka 1983 akifanya analysis ya impact ya vita ya uganda aliponea chupu kuuwawa mbarara uganda acheni ujinga kuna watu wameitumikia nchi hii kuliko mbuzi wengi wa facebook mlioko humu.
Unamsifu chizi jpm aliyekujengea flyover ya ubungo darisalama unamsahau jakaya aliyeleta vyuo vikuu 50+ tanzania ambapo mpaka toto lako mbulula litasomaAh bwana weee [emoji851] hebu kwenda zako huko! [emoji851]
Hayo majizi ya msoga yanayojiita majasusi hayana lolote, ujinga mtupu.
Bora Magufuli alitujengea FLYOVER tunapita na kuteleza kwa raha mustarehe. [emoji39][emoji39]
Jizi la msoga linakenua tu na kuchezea BEMBEA, Alhamdulilah kibaka mwenzake kadedi.
Sio nafasi za juu!Alikuwa namba moja wa idara husika miaka 1980-1983.Kapitie hata clip za mazishi yake...Dingi alikuwa TISS na amewahi kushika nafasi za juu tu.
Unazungumzia yale mavyuo ya kata na ya SENTI KAJAMBA?unamsahau jakaya aliyeleta vyuo vikuu 50+