Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Hujui kitu kwa taarifa yako Magufuli alikuwa pia ni Jasusi.
Hakuna Jasusi kil.aza vile.... Yaani uwe Jasusi afu uropoke kuhusu informants waliopandikizwa Acacia? Hapo hapo akajisifia anavyodukua mawasiliano ya wakurugenzi na DC??

Ni hivi kazi kubwa kwa Jasusi ni kumaliza threats kwa usiri.... Yaani mfano Lissu wangemuua hata kwa kupandikizwa saratani n.k sio ku order SMG zitumike!! Huwezi ukawa Jasusi alafu ukafanya blunders kama hizo.

So nakataa JPM hakuwahi kuwa TISS na Hana sifa za kuwa TISS.
 
Nendeni mkawaambie na huko kuzimu kuwa mtu wenu alikuwa TISS
Tumewachoka sasa
 
Jasusi ni huyu hapa 🤣🤣🤣
 
Alitaka Kugombea Urais,hata hivyo huwezi wajua wote..

Wapo Wanasiasa Hadi Mashekhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…