Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,125
- 1,397
Huyo Mahiga ndo ameshika nafasi ya ukurugenzi wa TISS akiwa kijana wa miaka 35 tu.!Sikumbuki vizuri kama wasifu wa Mahiga walisema alikuwa TISS anaekumbuka atujuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mahiga ndo ameshika nafasi ya ukurugenzi wa TISS akiwa kijana wa miaka 35 tu.!Sikumbuki vizuri kama wasifu wa Mahiga walisema alikuwa TISS anaekumbuka atujuze
Kwa nchi yetu Huwezi kupewa wizara ya mambo ya ndani kama sio kitengoYeye mwenyewe ndiye aliyejitangaza kipindi anatangaza Nia kitu ambavyo sio maadili ya usalama wa Taifa hata hivyo mm siamini kama kweli alikuwa ni Kachero
Hapana hajawahi na hakuwahi kabisa kuingia kwenye kitengo!Hujui kitu kwa taarifa yako Magufuli alikuwa pia ni Jasusi.
Aloyekwambia DSO ni wa TISS nani??
Huyu sawa alikuwa mkurugenzi baada ya yule aliyetumia pesa zetu vibaya kwa kumpeleka kwenye matibabu mke wake.naskia marehemu Augustino Mahiga nae alikuwa TISS
Kama Baba yako alivyomuharibu mama yako na mashahawa machafu ili upatikane wewe kichaaa muongo muongo🤣🤣🤣Aliliharibu mbwa yule
Haaaaa madogo yanawenyeweAloyekwambia DSO ni wa TISS nani??
Mbona mnachanganya sana neno USALAMA?
Hakuna Jasusi kil.aza vile.... Yaani uwe Jasusi afu uropoke kuhusu informants waliopandikizwa Acacia? Hapo hapo akajisifia anavyodukua mawasiliano ya wakurugenzi na DC??Hujui kitu kwa taarifa yako Magufuli alikuwa pia ni Jasusi.
Nendeni mkawaambie na huko kuzimu kuwa mtu wenu alikuwa TISSNaomba nikujibu hivi; maafisa usalama wa kawaida ni hawa ma rso na dso na wa chini kabisa ni wale wanaosimamia mitihani ya la nne la sana form two form four na wale walioko nectar wanaotisha walimu wa Mpwayungu Village kila siku bernard camilius membe alishapita level hizo toka mwaka 1980 na kimsingi hakuwahi kuwa huko chini kwa taarifa yako wakati waziri mkuu mizengo kayanza peter pinda akiwa mkuu wa usalama wa ikulu wakati wa nyerere membe tayari alishakuwa ndani ya ofisi ya rais mchambuzi wa mifumo ya ulinzi na usalama wa nchi set up unayoiona leo nje ya nchi na ndani pokea hiyo. Itoshe kusema mizengo pinda alilinda ikulu na familia ya nyerere na membe alilinda taifa nchi !
Jasusi ni huyu hapa 🤣🤣🤣Hakuna Jasusi kil.aza vile.... Yaani uwe Jasusi afu uropoke kuhusu informants waliopandikizwa Acacia? Hapo hapo akajisifia anavyodukua mawasiliano ya wakurugenzi na DC??
Ni hivi kazi kubwa kwa Jasusi ni kumaliza threats kwa usiri.... Yaani mfano Lissu wangemuua hata kwa kupandikizwa saratani n.k sio ku order SMG zitumike!! Huwezi ukawa Jasusi alafu ukafanya blunders kama hizo.
So nakataa JPM hakuwahi kuwa TISS na Hana sifa za kuwa TISS.
Kitwanga na yeye alikua m twist..? Wtf 😂😂Kwa nchi yetu Huwezi kupewa wizara ya mambo ya ndani kama sio kitengo
Tulimgundua tulipokuwa nae JKT Oljoro mwaka 1975 Kwa mienendo yake!!Alikuwa ni KACHERO tangu Form six.
ALIAMINIKA SANA ILA ALIKUJA KUJITANGAZA HAPO NDIPO ALIPOHARIBU.
Alitaka Kugombea Urais,hata hivyo huwezi wajua wote..Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya usalama wa Taifa kwa manufaa yenu binafsi? Imekuwa too- much sasa kila anapotajwa Membe na TISS lazima ihusishwe as if yeye ndiye Raia wa Kwanza nchini Tanzania kuwa mwajiliwa wa TISS au wa mwisho!
Sitaki kuamini kuwa yeye alikuwa Waziri wa kwanza au mwanasiasa wa kwanza kuwa mtumishi wa idara ya usalama wa taifa (TISS) na wala sitaki kuamini kuwa hakuna watumishi wa TISS waliostafu nje ya Marehemu Membe! ila sasa hii kuwa Usalama wa Taifa haikupi ticket yawewe kufanya utakavyo kwa mgongo wa TISS wala haikupi ticket yawewe kila unapopata nafasi ya juu kujitutumia na Utiss wako.
Naona ilitumika ili kuwatisha maadui wake,wakina Lowassa .Mimi nilifikiria kuwa ,alikuwa mkurugenz wa TISS.Kumbe alikuwa mfanyakaz wa kawaida tu.Vita ilikuwa imekwisha. Ilikuwaje?