Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Hata wewe umeogopa kumcorrect maana unajua hataki ujinga atakurarua.

Vilaza wote mwisho msoga, Dar es salaam kila mtu ni TISS.

Utajua hujui.
Kwanini umenijibu mambo ya hovyo ambayo hayaendani na nilichoandika Mkuu ? , upo akilini mwangu hadi ujue nimeogopa kumsema directly ?

Nimerusha jiwe gizani unatoka unalia
 
Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya usalama wa Taifa kwa manufaa yenu binafsi? Imekuwa too- much sasa kila anapotajwa Membe na TISS lazima ihusishwe as if yeye ndiye Raia wa Kwanza nchini Tanzania kuwa mwajiliwa wa TISS au wa mwisho!

Sitaki kuamini kuwa yeye alikuwa Waziri wa kwanza au mwanasiasa wa kwanza kuwa mtumishi wa idara ya usalama wa taifa (TISS) na wala sitaki kuamini kuwa hakuna watumishi wa TISS waliostafu nje ya Marehemu Membe! ila sasa hii kuwa Usalama wa Taifa haikupi ticket yawewe kufanya utakavyo kwa mgongo wa TISS wala haikupi ticket yawewe kila unapopata nafasi ya juu kujitutumia na Utiss wako.
Kunywa sumu
 
Hivi ni nani anaweza kuwa mkuu wa wilaya ama mkoa kama si mwewe?
Yaani mtu awe mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya/mkoa ambapo DSOs wako chini yake bila kujua ABCs za kitengo?

Hiki kitengo ni zaidi ya kinavyosikika!
Mawaziri na manaibu wao, wakurugenzi wa manispaa na hamashauri, wakurugenzi wa mashirika na taasisi za umma, baadhi ya madaktari na waalimu, baadhi wachungaji, mapadre na maaskofu pamoja na wasanii baadhi ya wasanii, waandishi wa habari ni wanavitengo!!!
 
Sio kweli wengine ni informants tu maana TISS haiwezi kuwa na mtumishi Kila eneo so inatumia wale ambao wapo huko tayari kupata taarifa. Mfano jela mnapochunguza mtuhumiwa wa kifo inaweza ikawa ngumu kumpelekea Jasusi ila ikawa rahisi kumtrain mfungwa au nyapara mbinu za kijasusi Ili apate taarifa zake kiurahisi.
 
... Yaani mfano Lissu wangemuua hata kwa kupandikizwa saratani n.k sio ku order SMG zitumike!!
Hii point uliyoongea hapa, ilitakiwa iwe tayari imeshakupa ufahamu wa kuwa shambulio la TL halikufanywa na professionals bali amateurs
Ingekuwa Serikali risasi moja tu ilikuwa inatosha. Professionals huwa hawafanyi kazi kwa panic au kwa kuogopa; wanamwogppa nani?

Wakati mwingine mtakuja kuwa mnaharibu mahusianao yenu na Serikali kwa kushindwa kuwa na ule ufahamu wa kawaida tu wa kuchambua mambo. Wewe tayari tukio unaliona kwa mtizamo huu uliousema hapa, halafu bado unadhani kuwa ilikuwa ni Serikali! Yaani unakuwa kama huna akili ya kuchambua mambo
 
Ingekuwa Serikali risasi moja tu ilikuwa inatosha. Professionals huwa hawafanyi kazi kwa panic au kwa kuogopa; wanamwogppa nani
Tunasema serikali sababu
1. Iligoma kufanya uchunguzi.
2. Polisi wanaolinda pale walikuwa ordered kuondoka.
3. CCTV inadaiwa zilikuepo ila ziliondolewa baadae.
4. Ile ni residence ya viongozi wa bunge na serikali so huwezi tuma wahuni wa kawaida alafu wasikamatwe.
5. Lissu alisharipoti kufuatiliwa na Nissan Patrol ila Polisi hawakuchukua hatua yeyote Wala kulikamata Hilo gari.

Ndio maana nikasema huenda mission haikuwa ya TISS ila personally walituma killer squad either ya Polisi, FIU, FFU, au hata private hitmen!!. Ila uhusika wa serikali Hilo ni 100% bila ubishi.
Wakati mwingine mtakuja kuwa mnaharibu mahusianao yenu na Serikali kwa kushindwa kuwa na ule ufahamu wa kawaida tu wa kuchambua mambo. Wewe tayari tukio unaliona kwa mtizamo huu uliousema hapa, halafu bado unadhani kuwa ilikuwa ni Serikali! Yaani unakuwa kama huna akili ya kuchambua mambo
Nmeongelea TISS sio serikali, tatizo una over estimate uwezo wa serikali. Sasa kama tu mikataba tunaibiwa wazi vile unadhani RC akipewa hata million 100 za kummaliza Lissu usishangae akachukua sungu sungu wa million 2 tu wakafanye hiyo mission. Ila nani kawatuma? SERIKALI!!
 
Hii point uliyoongea hapa, ilitakiwa iwe tayari imeshakupa ufahamu wa kuwa shambulio la TL halikufanywa na professionals bali amateurs
Ingekuwa Serikali risasi moja tu ilikuwa inatosha. Professionals huwa hawafanyi kazi kwa panic au kwa kuogopa; wanamwogppa nani?

Wakati mwingine mtakuja kuwa mnaharibu mahusianao yenu na Serikali kwa kushindwa kuwa na ule ufahamu wa kawaida tu wa kuchambua mambo. Wewe tayari tukio unaliona kwa mtizamo huu uliousema hapa, halafu bado unadhani kuwa ilikuwa ni Serikali! Yaani unakuwa kama huna akili ya kuchambua mambo
Mimi mwenyewe nawaona hawa watu mambulula sana yaani professional apige lisasi 30 na asiue 🤣🤣🤣
Huyo akiludi jeshini wanamyonga

Huo ulikuwa mpango wa mr DJ
 
Tunasema serikali sababu
1. Iligoma kufanya uchunguzi.
2. Polisi wanaolinda pale walikuwa ordered kuondoka.
3. CCTV inadaiwa zilikuepo ila ziliondolewa baadae.
4. Ile ni residence ya viongozi wa bunge na serikali so huwezi tuma wahuni wa kawaida alafu wasikamatwe.
5. Lissu alisharipoti kufuatiliwa na Nissan Patrol ila Polisi hawakuchukua hatua yeyote Wala kulikamata Hilo gari.

Ndio maana nikasema huenda mission haikuwa ya TISS ila personally walituma killer squad either ya Polisi, FIU, FFU, au hata private hitmen!!. Ila uhusika wa serikali Hilo ni 100% bila ubishi.

Nmeongelea TISS sio serikali, tatizo una over estimate uwezo wa serikali. Sasa kama tu mikataba tunaibiwa wazi vile unadhani RC akipewa hata million 100 za kummaliza Lissu usishangae akachukua sungu sungu wa million 2 tu wakafanye hiyo mission. Ila nani kawatuma? SERIKALI!!
Walikuwa ni amateurs waliokuwa na nia ya kuichafua Serikali. Ikumbukwe kuwa swala la Makinikia ambalo ndiyo lilitumika kama kigezo cha TL kumiminiwa risasi, lilibuniwa na wajanja wachache kwa nia ya kuichanganya Serikali ya JPM. Wabunifu wa Makinikia
KIXI
 
Amateurs kivipi na ni eneo linalindwa na Polisi maana wanaishi viongozi wa serikali? Na pia kama ni amateurs kwanini Polisi ishindwe kuwakamata ilihali plate numbers za Hiyo Nissan Patrol zilitajwa hadharani?

Labda ungesema waliotumwa na JPM walishoot vile Ili kuwatisha zaidi wapinzani kwamba sio tu utakufa ila utakufa violently. Maana kama wangemuua kwa sumu nani angejua? Ila kwa uwazi ule Kila mtu angeogopa.

So huwezi ondoa ushiriki wa serikali ila hizo methods zilizotumika ndio Zina prove JPM hakuwa TISS maana asinge order elimination ya mtu wazi vile more so hakukuwa hata na plan B kama angepona risasi!!
 
Mimi mwenyewe nawaona hawa watu mambulula sana yaani professional apige lisasi 30 na asiue 🤣🤣🤣
Huyo akiludi jeshini wanamyonga

Huo ulikuwa mpango wa mr DJ
Vipi JPM mbona aliondoka kimya kimya au hao professionals walikua wapi kumlinda kiasi afe kizembe vile?

Lissu alipona sababu ya Mungu tu ila plan ya JPM wa clear kwamba auwawe painful death Tena kwa uwazi Ili wakosoaji wote waogope. Unfortunately Mungu alivyo mkubwa Lissu alipona na akafanya kampeni nchi nzima. Cha ajabu yule aliyemmiminia risasi 30 alikua hoi, kampeni hakufanya mikoa yote na Bado akafa kimasihara tu!!

Mungu hadhihakiwi. Wote mliohusika na uhuni ule mtalipiwa hapa hapa duniani.
 
Amateurs kivipi na ni eneo linalindwa na Polisi maana wanaishi viongozi wa serikali? Na pia kama ni amateurs kwanini Polisi ishindwe kuwakamata ilihali plate numbers za Hiyo Nissan Patrol zilitajwa hadharani?

Labda ungesema waliotumwa na JPM walishoot vile Ili kuwatisha zaidi wapinzani kwamba sio tu utakufa ila utakufa violently. Maana kama wangemuua kwa sumu nani angejua? Ila kwa uwazi ule Kila mtu angeogopa.

So huwezi ondoa ushiriki wa serikali ila hizo methods zilizotumika ndio Zina prove JPM hakuwa TISS maana asinge order elimination ya mtu wazi vile more so hakukuwa hata na plan B kama angepona risasi!!
Wewe unaona kuzima Kamera ni dili sana kwamba ni lazima lifanywe na wahusika wa eneo?
Kama kamera zisingezimwa, waliokuwa wamesudia kuichafua Serikali wasingefanikiwaje sasa kuichafua Serikali?
Eneo lilikuwa linalindwa na Security guards na si Polisi
Kwa nini baada ya kushambuliwa, TL hakupelekwa kwenye matibabu kama alivyostahili?
Kwa nini mshahara wake ulisitishwa? Unadhani kwa sababu waliokuwa wanafanya hivi walikuwa ni Serikali?
Mshahara ulisitishwa kwa nia moja tu kwamba ili ijulikane kuwa mhusika alikuwa ni Serikali. Amka bado uko usingizini
Kwenye hili naomba usininibishie kwa sababu nina data zaidi ya hizi ila siwezi kuziandika hapa
 
Back
Top Bottom