Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Ila Apson Mwangonda inaonekana alikuwa master sana yule jamaa, maana hata 2015 alipokuwa upande wa Lowassa, watu walitoa milio ya kila aina wastaafu wa tiss wasijihusishe na siasa. He was a master spyMembe alikuwa senior pia wakati wa mwangonda kornel apson kwa taarifa yako.