Shukuru Mungu kama haijakutokea, ile wanayoongeza tofauti na calculator ya TRA inatoka wapi? Mbona inakuwa haina maelezo ya ziada, iweje calculator inataka ulipe 3mln lkn yeye atoe asesiment ya 3.8mln ?Kwenye magari? Inawezekana ila haijanitokea. Anyway kama ipo basi imepungua sana tofauti na kipindi cha ukaguzi wa kutumia macho.
Umesikikiza upande mmoja tu, hata wao ni wezi, wakwepa kodi na magendo usiseme.Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Kwa comments hizi wewe ni mfanyakazi wa TRA tu nyinyi ndiyo mnakusanya rushwa kwa kubambikiza wafanyabiashara kodi za kutisha.Ni miaka mitano sio miwili, mitano kwenda nyuma kuanzia siku aliyotoa tamko hilo.
Japo Rais hana mamlaka kusimama jukwaani kufuta kodi! Ukimpa Rais au watendaji wa umma mamlaka ya kufuta kodi kwa mdomo basi mmewapa pia mamlaka ya kutunga kodi kwa mdomo!
Hawa marais wakiwa nyumbani kwao huwa wanatucheka sana tulivyo mambumbumbu wa dunia, yani tunamwongezea kiongozi madaraka ya mdomo ambayo kimakaratasi hana! Ndio maana maafisa wa TRA wanawaambia wafanyabiashara amri za majukwaani ni kauli za uongo, hadaa za wanasiasa.
Kwa hiyo, kwa tamaduni za kodi za Tanzania, ukikwepa kodi miaka miwili mpaka mitano, deni linaenda linapotezewa kwa huruma ya Rais mpya! Biashara ikikushinda kwa kodi achana nayo fanya mengine baadae ibuka tena itakuwa imesamehewa, ndio hicho Samia alichonuia kuki encourage ??? Hakuna nchi inayoendeshwa hivyo!
Tunalalamika tunataka Katiba Mpya ya kupunguza mamlaka ya Rais wakati huo huo tunampa madaraka ambayo hata kwenye Katiba ya sasa hana!
Kwani TRA wakitaka utoe rushwa wanaanzaje? Wanakupa makadirio ambayo huwezi kuyafikia ili wewe ndiyo uwe wa kwanza kusema nipunguzie nitawapa na nyinyi chochote.Hajasema aliombwa rushwa ya bilion 30. Na hajatamka neno rushwa. Huyu mleta mada wetu ndio ame introduce rushwa.
Ujue hata Sheria mbovu ni chanzo Cha rushwa na kuwatajirisha TRA officers,maana masheria mengine hayana applicability kiuhalisia ndio mwisho mtu kukwepa hyo Kodi anaona awape rushwa ma officer ili asilipe.
Pia fine za hovyo Kwa kosa dogo mfano la receipt labda ya laki moja huku fine milion Tano huoni kuwa huyo mfanyabiashara ataamua atoe tu rushwa kulipo kulipa fine.
Sheria mbovu ndio zinachangia rushwa isiishe nchini, plus too much bureaucracy kwenye ma office ya umma.
Nchi imemshinda mama wa unguja.
2025 utatambua uhalisia
😂Sidhani kama walitaka pesa per ser, japo angetoa pesa wangechukua, mimi nadhani kuna competitor alitaka amtoe Mama Bonge kwenye reli kwa kuwatumia maafisa TRA. Haiingii akilini 30B kodi anatengeneza nuclear kwani?
We ni mjinga container moja la Vitenge la 40Na container 20 unazichukuliaje yani ?
Hakuna mali inayojaza container 20 yenye thamani ya bilioni 20 za kodi ?
Mfanyabiashara mwenyewe kasema alipotajiwa hiyo kodi akasema hana hela, hakusema kodi imekosewa, kasema sikuwa na hela. What does that mean? Anajua kilichomo. Na si ajabu kodi hiyo ni cummulative assesment ya biashara ya miaka 10 bila kulipa kodi. Hii ni hadithi ya majukwaani ya upande mmoja. Huwezi kufanya conclusion yeyote kwa kihadithi cha dakika mbili cha upande mmoja.
Tykumvuke pia waTz wanakipata chance ya kukusagia kunguni wanasaga kweli.Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
We ni mjinga container moja la Vitenge la 40
Ft Kodi yake Kwa Bandar ya Dar ni tsh , milion 240 Hadi 300.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kabinti kiziwi kangu. I love mature women.Sidhani kama walitaka pesa per ser, japo angetoa pesa wangechukua, mimi nadhani kuna competitor alitaka amtoe Mama Bonge kwenye reli kwa kuwatumia maafisa TRA. Haiingii akilini 30B kodi anatengeneza nuclear kwani?
Kipindi Cha JPM ndio TRA,wanasheria wa serikali,Polisi walitajirika sanaMtamkumbuka JPM.
I’m humble you know! 😜 I love you too.Kabinti kiziwi kangu. I love mature women.
Walisema Tz hakuna wanyongeMagufuli alikuwa akiwashughulikia hao kwa kuwatimua mnasema ana wivu na matajiri.
Mbwa kabisa
Tafsiri yake ni hiyo, yaani rushwa..Msikilize vizuri. Hajasema aliombwa rushwa ya bilion 30. Na hajatamka neno rushwa. Huyu mleta mada wetu ndio ame introduce rushwa.
Bado tafsiri ya hiyo assessment Ina uelekeo wa rushwa tena bila hata kuwa na diploma ya "uta - KUKURU!!"Kodi ndio ilikuwa bilioni 30. Amesema "TRA wakatoa assessment ya bilioni 30." Assessment maana yake kodi, sio rushwa. Makadirio ya kodi.
It doesn't matter.Mfanyabiashara ndio anajua ndani ya makontena 20 kulikuwa na nini.
Na ndio maana wala hakubisha kiasi cha kodi, yeye kasema "sikuwa na hela."
Katika scenario ya namna hii, you don't need to hear anything from TRA Kwa sababu picha ya rushwa iko very crystal clear.!!She knows what she brung to the country. Ni hadithi ya upande mmoja wa mfanyabiashara. Hatujasikia claims za TRA.