Msikilize vizuri. Hajasema aliombwa rushwa ya bilion 30. Na hajatamka neno rushwa. Huyu mleta mada wetu ndio ame introduce rushwa.
Tafsiri yake ni hiyo, yaani rushwa..
Kodi ndio ilikuwa bilioni 30. Amesema "TRA wakatoa assessment ya bilioni 30." Assessment maana yake kodi, sio rushwa. Makadirio ya kodi.
Bado tafsiri ya hiyo assessment Ina uelekeo wa rushwa tena bila hata kuwa na diploma ya "uta - KUKURU!!"
Kuna maswali muhimu kadhaa ya kujiuliza ni hili;
1. Ikawaje wakatengeneza njama za kumfungulia kesi ya uhujumu uchumi na wao wenyewe tena kuifuta/ondoa mahakamani kesi hiyo?.
Jibu ni rahisi: Kum - indimidate atishike ili wapate wanachokitaka!!
2. Na unadhani ikawaje variation ya hiyo assessment ikawa inabadilika kiwango kutoka 30b kisha 15b and then 10b na mwisho "
njoo uchukue mzigo wako?"
##Unataka ufundishwe na nani ili ujue kuwa hiyo ni direct rushwa na hata kama zingetoka zisingeingia ktk fuko la serikali??
Mfanyabiashara ndio anajua ndani ya makontena 20 kulikuwa na nini.
It doesn't matter.
Ingekuwa ni bidhaa isiyoruhusiwa ishu hapo isingekuwa Kodi tena bali ni kosa la jinai. Kwa hiyo walipaswa kumshitaki tu mfanyabiashara
Hizo zilikuwa ni bidhaa za kawaida tu lakini eti Kodi 30bn. Hata Tanzania Breweries LTD (TBL) au Bakhresa Group of Companies LTD hawalipi kodi ya kiwango hicho tena Kwa mwaka mzima!!
Na ndio maana wala hakubisha kiasi cha kodi, yeye kasema "sikuwa na hela."
Hakuwa na hela hiyo ya rushwa kwa kiwango hicho...!!
Kumbuka kuwa, kama business woman, lazima alikuwa na pesa ya kulipa Kodi halali ya serikali..!!
Ni mfanyabiashara gani makini anaweza kuagiza bidhaa ya biashara yake asiweke na bajeti ya Kodi, tozo na ushuru wa serikali..??
She knows what she brung to the country. Ni hadithi ya upande mmoja wa mfanyabiashara. Hatujasikia claims za TRA.
Katika scenario ya namna hii, you don't need to hear anything from TRA Kwa sababu picha ya rushwa iko very crystal clear.!!
Yaani mfumo wa rushwa ktk nchi hii unaundwa na syndicate hatari sana ikihusisha vigogo toka Kila idara muhimu serikalini: TRA, polisi, TISS, WIZARA ya fedha na pengine mpaka ikulu..