Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Oct 23, 2023 #241 Kama sio huyu kuna mwingine ni bingwa wa kusafirisha vipodozi vilivyopigwa marufuku.
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Jul 3, 2024 #242 Stuxnet said: Nadhani hata Commissioner General Alfayo Kidata naye HATOSHI kwenye nafasi hii. Kwa nini tuwalalamikie watu wa chini yake tu? Kwanini yote haya mpaka yanamfikia PM bila yeye kuwa na taarifa? Kidata awajibishwe Click to expand... Walisema Kidata hatoshi ila Mama akaziba masikio. Hatimaye......
Stuxnet said: Nadhani hata Commissioner General Alfayo Kidata naye HATOSHI kwenye nafasi hii. Kwa nini tuwalalamikie watu wa chini yake tu? Kwanini yote haya mpaka yanamfikia PM bila yeye kuwa na taarifa? Kidata awajibishwe Click to expand... Walisema Kidata hatoshi ila Mama akaziba masikio. Hatimaye......
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 Jul 3, 2024 #243 Huihui2 said: Walisema Kidata hatoshi ila Mama akaziba masikio. Hatimaye...... Click to expand... Yeye ni chura kiziwi, hadi a aanze kufungua ndio anasikia
Huihui2 said: Walisema Kidata hatoshi ila Mama akaziba masikio. Hatimaye...... Click to expand... Yeye ni chura kiziwi, hadi a aanze kufungua ndio anasikia