Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walisema Kidata hatoshi ila Mama akaziba masikio. Hatimaye......Nadhani hata Commissioner General Alfayo Kidata naye HATOSHI kwenye nafasi hii. Kwa nini tuwalalamikie watu wa chini yake tu? Kwanini yote haya mpaka yanamfikia PM bila yeye kuwa na taarifa?
Kidata awajibishwe
Yeye ni chura kiziwi, hadi a aanze kufungua ndio anasikiaWalisema Kidata hatoshi ila Mama akaziba masikio. Hatimaye......