Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Nadhani hata Commissioner General Alfayo Kidata naye HATOSHI kwenye nafasi hii. Kwa nini tuwalalamikie watu wa chini yake tu? Kwanini yote haya mpaka yanamfikia PM bila yeye kuwa na taarifa?

Kidata awajibishwe
Walisema Kidata hatoshi ila Mama akaziba masikio. Hatimaye......
 
Back
Top Bottom