Na mtu atalipaje billion 30 huku umemfungia mzigo wake hafanyi biashara, ujue Huwa sielewi hao TRA hufikiria Kwa kutumia Nini?TRA: ^Njoo uchukue mzigo wako^
Mama: ^Nangoja dadi nilipe hizo bilioni 30. Au mmenilipia?^ haha
Wamefanya hivyo kwa sababu ni mwamke mwanaume wasingesubutu naona kuna chuki sana kwa kina mama TanzaniaSidhani kama walitaka pesa per ser, japo angetoa pesa wangechukua, mimi nadhani kuna competitor alitaka amtoe Mama Bonge kwenye reli kwa kuwatumia maafisa TRA. Haiingii akilini 30B kodi anatengeneza nuclear kwani?
Nchi imemshinda mama wa unguja.Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Matumbo na makalioNa mtu atalipaje billion 30 huku umemfungia mzigo wake hafanyi biashara, ujue Huwa sielewi hao TRA hufikiria Kwa kutumia Nini?
Tuanze na aliyempigia simu usiku kuwa akachukue mzigo wake, chain irudi nyuma nyuma hadi kwa maafisa wengine, mchawi tutamfikia tu watatajana!!Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Tena ukimkuta ofisa wa TRA hapo anakuambia hiyo Kodi nimekufanyia favor tu, haikutakiwa iwe hiyo. Huku anazunguka kwenye kiti huku akipulizwa na kipupwe kwa mbaaali.Na mtu atalipaje billion 30 huku umemfungia mzigo wake hafanyi biashara, ujue Huwa sielewi hao TRA hufikiria Kwa kutumia Nini?
Mbwa mwenyewe na sukuma Gang woteMagufuli alikuwa akiwashughulikia hao kwa kuwatimua mnasema ana wivu na matajiri.
Mbwa kabisa
Nadhani hata Commissioner General Alfayo Kidata naye HATOSHI kwenye nafasi hii. Kwa nini tuwalalamikie watu wa chini yake tu? Kwanini yote haya mpaka yanamfikia PM bila yeye kuwa na taarifa?Mh Rais na viongozi wote kwa ujumla embu tungeni adhabu ya kuwanyonga maofisia wanao fanya mambo yakinyama kama haya kweli huyu mwanamke amefanyiwa haya yote kwa fitina hao walio mtengenezea fitina wanajulikana why kukaa kimya?
Tutafika Kanaani nchi ya ahadi tukiwa tumechoka.Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Ana mamlaka kamiri au kapromotiwa ki siasa anafanyia watu kazi pale......Nadhani hata Commissioner General Alfayo Kidata naye HATOSHI kwenye nafasi hii. Kwa nini tuwalalamikie watu wa chini yake tu? Kwanini yote haya mpaka yanamfikia PM bila yeye kuwa na taarifa?
Kidata awajibishwe
Hii nchi yetu officer una mjibu vibaya mtu anayejenga nchi na kukufanya ulipwe mshahara, serikali iweke mazingira mazuri ya kutia moyo wafanyabiashara wasionekane maadui. Na hao ma officer wanavimba vile hupokea rushwa kubwa kubwa tu yaniTena ukimkuta ofisa wa TRA hapo anakuambia hiyo Kodi nimekufanyia favor tu, haikutakiwa iwe hiyo. Huku anazunguka kwenye kiti huku akipulizwa na kipupwe kwa mbaaali.
Umeaanza vizuri,ukamaliza vibay! Sasa Mbwa nae kaingiaje tena kwa Magufuli!!!??Magufuli alikuwa akiwashughulikia hao kwa kuwatimua mnasema ana wivu na matajiri.
Mbwa kabisa
Ni aibu sana kuwa na viongozi wasio na vision wanaowaza kukomoa mtu, I'm sure hao officers hawana hata gengeMatumbo na makalio
Naunga mkono. Halafu sidhani kama Meneja wa Mkoa ana jurisdiction ya kukusanya Tsh 30 Bilioni kwa mfanyabiashara mmoja. Mtazamo wangu ni kwamba kodi kama hiyo inakusanywa na Meneja wa Big TaxpayersSidhani kama walitaka pesa per ser, japo angetoa pesa wangechukua, mimi nadhani kuna competitor alitaka amtoe Mama Bonge kwenye reli kwa kuwatumia maafisa TRA. Haiingii akilini 30B kodi anatengeneza nuclear kwani?
Vile wanaona ni dhaifu na usikute walimwomba huyo mama hata rushwa ya ngono akagoma, maana wanaume wakinyimwa kei Huwa wanakomoa bila hurumaWamefanya hivyo kwa sababu ni mwamke mwanaume wasingesubutu naona kuna chuki sana kwa kina mama Tanzania
Wengi wao hawajui adha wanazozipitia wafanyabiashara. Wanachojua wao ni kuhesabu pesa zilizoingia kwa siku baada ya kukaridia kiwango cha juu cha kodi. Shame!Na mtu atalipaje billion 30 huku umemfungia mzigo wake hafanyi biashara, ujue Huwa sielewi hao TRA hufikiria Kwa kutumia Nini?