Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Sidhani kama walitaka pesa per ser, japo angetoa pesa wangechukua, mimi nadhani kuna competitor alitaka amtoe Mama Bonge kwenye reli kwa kuwatumia maafisa TRA. Haiingii akilini 30B kodi anatengeneza nuclear kwani?
Wamefanya hivyo kwa sababu ni mwamke mwanaume wasingesubutu naona kuna chuki sana kwa kina mama Tanzania
 
Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.

Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Nchi imemshinda mama wa unguja.
2025 utatambua uhalisia
 
Tuanze na aliyempigia simu usiku kuwa akachukue mzigo wake, chain irudi nyuma nyuma hadi kwa maafisa wengine, mchawi tutamfikia tu watatajana!!
 
Mh Rais na viongozi wote kwa ujumla embu tungeni adhabu ya kuwanyonga maofisia wanao fanya mambo yakinyama kama haya kweli huyu mwanamke amefanyiwa haya yote kwa fitina hao walio mtengenezea fitina wanajulikana why kukaa kimya?
Nadhani hata Commissioner General Alfayo Kidata naye HATOSHI kwenye nafasi hii. Kwa nini tuwalalamikie watu wa chini yake tu? Kwanini yote haya mpaka yanamfikia PM bila yeye kuwa na taarifa?

Kidata awajibishwe
 
Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.

Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Tutafika Kanaani nchi ya ahadi tukiwa tumechoka.
 
Tena ukimkuta ofisa wa TRA hapo anakuambia hiyo Kodi nimekufanyia favor tu, haikutakiwa iwe hiyo. Huku anazunguka kwenye kiti huku akipulizwa na kipupwe kwa mbaaali.
Hii nchi yetu officer una mjibu vibaya mtu anayejenga nchi na kukufanya ulipwe mshahara, serikali iweke mazingira mazuri ya kutia moyo wafanyabiashara wasionekane maadui. Na hao ma officer wanavimba vile hupokea rushwa kubwa kubwa tu yani
 
Sidhani kama walitaka pesa per ser, japo angetoa pesa wangechukua, mimi nadhani kuna competitor alitaka amtoe Mama Bonge kwenye reli kwa kuwatumia maafisa TRA. Haiingii akilini 30B kodi anatengeneza nuclear kwani?
Naunga mkono. Halafu sidhani kama Meneja wa Mkoa ana jurisdiction ya kukusanya Tsh 30 Bilioni kwa mfanyabiashara mmoja. Mtazamo wangu ni kwamba kodi kama hiyo inakusanywa na Meneja wa Big Taxpayers
 
Back
Top Bottom