Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Ishu kubwa kama hii, rais anashindwaje kuwajibisha waliotajwa kupita uchunguzi? Kwaiyo vitu gani vinaawezekana kwake?

30 billion siyo mchezo
 
heri kufuata utaratibu wa China....kupigwa risasi tu
 
Sasa b30 kwa miaka 7 vilabu vipo 18 asee huo mkataba waliusaini watu dhaifu sana waliotanguliza maslahi ya matumbo yao mbele.
B30 ni hela ndogo sana aseee.
DSTV ingepewa uwo mkataba ni zaidi ya b30
 
Mbona una hasira sana?

Si ndio nyie mlikuwa mnamuita Magufuli akiwatumbua hao watumishi wa hovyo mnasema ana wivu na matajiri?

Ngoja mkomeshwe tena muingezewe kodi mara 200 mataahira nyie
Kuna kamsemo kao ,Eti rais anawaonea , ankurupuka anavunja sheria ya kuto msikiliza mtumishi
 
Haya yote yanatokea chini ya uongozi uliotukuka wa CCM.

Ndugu zangu niwaambie ukweli, hizi testimonies zipo nyingi mno na bado dola inatumika kuiba kura na matumaini ya Watanzania.

Viongozi wanapigana kumbo kuhifadhi fedha nje ya nchi na hata kuishi maisha ya anasa mno.

HIzi hoja zinapaswa kutumiwa na wanasiasa wa upinzani kuelezea umma kwa nini CCM inapaswa kupumzishwa. Ni kiongozi gani kutoka CCM ambaye siyo mkwasi?

Ukiwa ni kiongozi kutoka CCM na hauibi hakika wewe siyo asset ya chama. Anayekanusha hili aje na hoja

CC: Pascal Mayalla, Erythrocyte, Mshana Jr, Retired, TRA Tanzania, zitto junior ye34nbe Get Rich Extrovert raraa reree
 
Haya yote yanaletwa na utendaji mbovu wa TAKUKURU, inakuwaje wanaona watumishi wa TRA wanaukwasi wa kutisha katika muda mchache wa utumishi na wako kimya?
Wangekuwa wanachukua hatua watu wangeacha kula rushwa bila woga
Watampelekea nani , samia hapana ndugu.
Huyu atakumbia nendeni mkalitazame
 
Mama yenu ni mtu mwema,nchi inakwenda vizuri kwa sasa hakuna tatizo,wafanyabiashara wanafurahia maisha
 
Ngoja kadakindakinda Pascal Mayalla atajibu hoja yako
 
Mie nilitegemea leo Meneja leo alhamis apelekwe mahakamani asomewe kifungo cha miaka 30 leoleo segerea! Without parole
Wewe unadhani viongozi wakubwa wa nchi hii hawajui kuwa kuna uhuni kama huo?.
Huenda wanaubariki kimyakimya in exchange ya mgao wao, au hela ya kuisaidia CCM kwenye kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…