Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanga na wachawi, ni roho ile ya yule bwana.Hatari sana hii, watanzania tunaumizana wenyewe kwa wenyewe.
Unakomba float yote ya bank ,labda ikalipwe bank kuuNaunga mkono. Halafu sidhani kama Meneja wa Mkoa ana jurisdiction ya kukusanya Tsh 30 Bilioni kwa mfanyabiashara mmoja. Mtazamo wangu ni kwamba kodi kama hiyo inakunywa na Meneja wa Big Taxpayers
Hawa si wa kuachwa wallah tenaMh Rais na viongozi wote kwa ujumla embu tungeni adhabu ya kuwanyonga maofisia wanao fanya mambo yakinyama kama haya kweli huyu mwanamke amefanyiwa haya yote kwa fitina hao walio mtengenezea fitina wanajulikana why kukaa kimya?
heri kufuata utaratibu wa China....kupigwa risasi tuHuyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Sasa b30 kwa miaka 7 vilabu vipo 18 asee huo mkataba waliusaini watu dhaifu sana waliotanguliza maslahi ya matumbo yao mbele.Naangalia hapa Azam, wanasema wamefanya uwekezaji wa Billion 30 kwa ajili ya matangazo ya mpira kwa kwa miaka kadhaa.
Moyoni nikasema mbona hiyo ni kodi ya mama mmoja muuza vitenge Kariakoo?
Yaani hao maafisa waliotumika kumbambika hiyo mama hiyo kodi kama bado leo wako ofisini basi wote tuseme kwa sauti kuu "sisi ni wajinga"
Kuna kamsemo kao ,Eti rais anawaonea , ankurupuka anavunja sheria ya kuto msikiliza mtumishiMbona una hasira sana?
Si ndio nyie mlikuwa mnamuita Magufuli akiwatumbua hao watumishi wa hovyo mnasema ana wivu na matajiri?
Ngoja mkomeshwe tena muingezewe kodi mara 200 mataahira nyie
Haya yote yanatokea chini ya uongozi uliotukuka wa CCM.Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Watampelekea nani , samia hapana ndugu.Haya yote yanaletwa na utendaji mbovu wa TAKUKURU, inakuwaje wanaona watumishi wa TRA wanaukwasi wa kutisha katika muda mchache wa utumishi na wako kimya?
Wangekuwa wanachukua hatua watu wangeacha kula rushwa bila woga
Ndo zilitungwa kipindi chake ,au unakaza tu fuvuSheria hizi mbovu ziliasisiwa na Magufuri mwenyewe.
Mama yenu ni mtu mwema,nchi inakwenda vizuri kwa sasa hakuna tatizo,wafanyabiashara wanafurahia maishaHuyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Ha ha haaaa hii nchi ngumu sanaSidhani kama walitaka pesa per ser, japo angetoa pesa wangechukua, mimi nadhani kuna competitor alitaka amtoe Mama Bonge kwenye reli kwa kuwatumia maafisa TRA. Haiingii akilini 30B kodi anatengeneza nuclear kwani?
Ngoja kadakindakinda Pascal Mayalla atajibu hoja yakoHaya yote yanatokea chini ya uongozi uliotukuka wa CCM.
Ndugu zangu niwaambie ukweli, hizi testimonies zipo nyingi mno na bado dola inatumika kuiba kura na matumaini ya Watanzania.
Viongozi wanapigana kumbo kuhifadhi fedha nje ya nchi na hata kuishi maisha ya anasa mno.
HIzi hoja zinapaswa kutumiwa na wanasiasa wa upinzani kuelezea umma kwa nini CCM inapaswa kupumzishwa. Ni kiongozi gani kutoka CCM ambaye siyo mkwasi?
Ukiwa ni kiongozi kutoka CCM na hauibi hakika wewe siyo asset ya chama. Anayekanusha hili aje na hoja
CC: Pascal Mayalla, Erythrocyte, Mshana Jr, Retired, TRA Tanzania, zitto junior ye34nbe Get Rich Extrovert raraa reree
Zilitungwa kipindi chake chini waziri kutoka majalalani na bwana yule wa Kongwa wakiwa wameishikilia nchi.Ndo zilitungwa kipindi chake ,au unakaza tu fuvu
... laziama wakuwekee mazingira magumu sana ili wewe ujione una kosa uwaombe na kuongea nao "vizuri". Hayo ndio yanaitwa mazingira ya rushwa! TRA ni tatizo kubwa nchi hii.Bilioni kumi wanaichukuliaje yani
Wewe unadhani viongozi wakubwa wa nchi hii hawajui kuwa kuna uhuni kama huo?.Mie nilitegemea leo Meneja leo alhamis apelekwe mahakamani asomewe kifungo cha miaka 30 leoleo segerea! Without parole
Alivyo ingia mama samia madarakani alidai hataki kodi ya dhuluma kwenye uongozi wake, sasa imekuwaje tena?