Pole Mkuu ndiyo Nchi yako ilikofikia huko! Tanzania ni Nchi ya kitu kidogo,bila kitu kidogo hupati huduma!!Ofisi za umma Zina mambo ya kukatisha tamaa, imagine tu kwenda mahakamani kusaini fomu Fulani nikapigwa 20k wakati kisheria ni Bure.[emoji17]
Hapa Mwendesha Mashitaka nae ana husika!!Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo[emoji35][emoji35][emoji35]
Dini yako haikuruhusu kua na chuki kiasi hicho kwa Mwanadamu mwenzio!!Wanga na wachawi, ni roho ile ya yule bwana.
Hoja hapa ni TRA na Wafanyabiashara,tunafanyaje kumaliza hili tatizo!? Jikite hapo kuna max 50!!Wanga na wachawi, ni roho ile ya yule bwana.
TAKUKURU na Sekretariati ya maadili ni vyombo ambavyo vinatumika ku HARASS watumishi ambao Serikali haiwataki. Siwaamini kabisa TAKUKURU, hawana uhuru wa kutenda kazi kama sheria inavyowataka. Katiba Mpya itabidi iangalie muundo mpya wa vyombo hiviHaya yote yanaletwa na utendaji mbovu wa TAKUKURU, inakuwaje wanaona watumishi wa TRA wanaukwasi wa kutisha katika muda mchache wa utumishi na wako kimya?
Wangekuwa wanachukua hatua watu wangeacha kula rushwa bila woga
Dini yako haikuruhusu kua na chuki kiasi hicho kwa Mwanadamu mwenzio!!
Jibu hoja zangu achana na mimi.Dini yako haikuruhusu kua na chuki kiasi hicho kwa Mwanadamu mwenzio!!
Hii siyo kwa timu bali mitambo na uendeshajiSasa b30 kwa miaka 7 vilabu vipo 18 asee huo mkataba waliusaini watu dhaifu sana waliotanguliza maslahi ya matumbo yao mbele.
B30 ni hela ndogo sana aseee.
DSTV ingepewa uwo mkataba ni zaidi ya b30
Hatuna rais wa kuumiza chwa kwa vitu vigumu hivyo acha kujutoa ufaham kiongoziSamia inabidi afanye overhaul ya TRA na mfumo mzima wa namna kodi inavyokusanywa humu nchini. La sivyo itakuwa ni rushwa juu ya rushwa tu
Wapuuzi sana nida nimeenda mwanasheria alikosea tu mwaka kuandika nikamsahihisha akafuta na ile kma gundi kwenda pale ukonga Kuna kimama kipuuzi nasubili nipigwe picha alichonifanyia mbwa yule siwezi sahau Ohio mbona kma mwaka ulikosewa kuandikwa nikamwambia cheti changu original hiki hapa angalia akagoma katakata anataka nianze mchakato upya niende Rita aisee sijarudi mpaka Leo yaani hii nchii takataka kabsaUhamiaji wadosi wanapewa pasi bila shida tena wengine hata kiswahili hawajui,nenda sasa mswahili na docs zote uone utakavyochezea za uso
Unajivunia uislam au dhulma .dhulma haichagui kuwa ww ni mwislam au mkristuJibu hoja zangu achana na mimi.
AlhamduliLlah, najivunia Uislam wangu.
Amekosea Azam kaweka bilioni 250 yanga ndio kawapa bilion 41 Kwa miaka 5 ukitoamapato wanapata kma bili 35Sasa b30 kwa miaka 7 vilabu vipo 18 asee huo mkataba waliusaini watu dhaifu sana waliotanguliza maslahi ya matumbo yao mbele.
B30 ni hela ndogo sana aseee.
DSTV ingepewa uwo mkataba ni zaidi ya b30
Naona huko TRA kumejaa majitu ya dili tu, kama wanamkwamisha huyu mama kufanya biashara miezi nane hii ni kwa maslahi ya nani hasa? tukisema wanahongwa na baadhi ya wafanyabiashara kuwafanyia washindani wao hujuma tutakuwa tumekosea?Mh Rais na viongozi wote kwa ujumla embu tungeni adhabu ya kuwanyonga maofisia wanao fanya mambo yakinyama kama haya kweli huyu mwanamke amefanyiwa haya yote kwa fitina hao walio mtengenezea fitina wanajulikana why kukaa kimya?
AlhamduliLlah najivunia Uislam wangu.Unajivunia uislam au dhulma .dhulma haichagui kuwa ww ni mwislam au mkristu
Bora uhamiaji wamejirekebisha... Kuna ndugu zangu wanne niliwatengenezea passport kuanzia mwaka huu kuanza na wote wamepata bila kutoa hata 100Kuna hapo RITA, Kuna NIDA, Kuna UHAMIAJI
Dah mpk saa hii Bado bila bila hakuna aliyefukuzwa kazi TRA....wote wasafiHao maafisa walitaka rushwa Kwa huyo mama, in short hao ma officer ni wahuni na washenz.i na wahujumu uchumi na Hawana utu wangetakiwa wamsaidie, Huwa nawaza why Watanzania tunapenda kukomoana hivi, huyu mama kumfungia kumeharibu uchumi na kuathiri aliowaajiri na kumtegemea, na hao ma officer hawakufikiria kweli multiplier effect yake. Saa ingine watu watumie busara kuangalia mambo Kwa upana faida na hasara then wa negotiate
Hapana, huyu ni mwengine. Bonge ni yule Bonge kweli ambae alitaka number ya waziri mkuu.ndiyo huyo huyo
Ukinyimwa Kei unatakiwa ushukuru maana unaongezewa siku za kuishi, maana ukichakata mara moja siku saba zimeondoka hizo....baadhi ya viumbe wakichakata tu na kufa hapo hapo.Vile wanaona ni dhaifu na usikute walimwomba huyo mama hata rushwa ya ngono akagoma, maana wanaume wakinyimwa kei Huwa wanakomoa bila huruma