Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Haya yote yanaletwa na utendaji mbovu wa TAKUKURU, inakuwaje wanaona watumishi wa TRA wanaukwasi wa kutisha katika muda mchache wa utumishi na wako kimya?
Wangekuwa wanachukua hatua watu wangeacha kula rushwa bila woga
TAKUKURU na Sekretariati ya maadili ni vyombo ambavyo vinatumika ku HARASS watumishi ambao Serikali haiwataki. Siwaamini kabisa TAKUKURU, hawana uhuru wa kutenda kazi kama sheria inavyowataka. Katiba Mpya itabidi iangalie muundo mpya wa vyombo hivi
 
Uhamiaji wadosi wanapewa pasi bila shida tena wengine hata kiswahili hawajui,nenda sasa mswahili na docs zote uone utakavyochezea za uso
Wapuuzi sana nida nimeenda mwanasheria alikosea tu mwaka kuandika nikamsahihisha akafuta na ile kma gundi kwenda pale ukonga Kuna kimama kipuuzi nasubili nipigwe picha alichonifanyia mbwa yule siwezi sahau Ohio mbona kma mwaka ulikosewa kuandikwa nikamwambia cheti changu original hiki hapa angalia akagoma katakata anataka nianze mchakato upya niende Rita aisee sijarudi mpaka Leo yaani hii nchii takataka kabsa
 
Mh Rais na viongozi wote kwa ujumla embu tungeni adhabu ya kuwanyonga maofisia wanao fanya mambo yakinyama kama haya kweli huyu mwanamke amefanyiwa haya yote kwa fitina hao walio mtengenezea fitina wanajulikana why kukaa kimya?
Naona huko TRA kumejaa majitu ya dili tu, kama wanamkwamisha huyu mama kufanya biashara miezi nane hii ni kwa maslahi ya nani hasa? tukisema wanahongwa na baadhi ya wafanyabiashara kuwafanyia washindani wao hujuma tutakuwa tumekosea?
 
Hao maafisa walitaka rushwa Kwa huyo mama, in short hao ma officer ni wahuni na washenz.i na wahujumu uchumi na Hawana utu wangetakiwa wamsaidie, Huwa nawaza why Watanzania tunapenda kukomoana hivi, huyu mama kumfungia kumeharibu uchumi na kuathiri aliowaajiri na kumtegemea, na hao ma officer hawakufikiria kweli multiplier effect yake. Saa ingine watu watumie busara kuangalia mambo Kwa upana faida na hasara then wa negotiate
Dah mpk saa hii Bado bila bila hakuna aliyefukuzwa kazi TRA....wote wasafi
 
Vile wanaona ni dhaifu na usikute walimwomba huyo mama hata rushwa ya ngono akagoma, maana wanaume wakinyimwa kei Huwa wanakomoa bila huruma
Ukinyimwa Kei unatakiwa ushukuru maana unaongezewa siku za kuishi, maana ukichakata mara moja siku saba zimeondoka hizo....baadhi ya viumbe wakichakata tu na kufa hapo hapo.
 
Back
Top Bottom