Kwa utaratibu huu wa kumbakia kodi ni ngumu kuzalisha mabilionea wazawa, ile sera ya uzawa ya kina marehemu Idd Simba iliishia wapi? nafikiri ilikuwa inalenga mambo kama haya.Wawekezaji kama hawa wangepewa ushirikiano vizuri, tutaweza kufanana kama Dubai.
Kitakachobadilisha hii hali, ni kuwepo na sera nzuri (hasa ya kikodi) na sheria ya kumlinda muwekezaji kwa angalau miaka 100. Ndani ya muda mfupi, viwanda vitazidi idadi ya watu; na serikali itapata mapato ya kutosha, kwa sababu bidhaa nyingi zitakuwa zinapelekwa nje.