Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Hapo ndo penye shida, hii inachangiwa na nyie kutoa moja pekee wakati mwanaume anatoa zaidi ya milioni.......jitahidini hata mfike mayai kumi.
Mayai Kumi tutayabebaje watoto mapacha tu Huwa ni shida
 
Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.

Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Suala lako tunalifanyia kazi😐
 
Ngoja mkomeshwe mataahira nyie!

Hivi mlifikiri Magufuli anafanya vile kwa faida zake?

Alikuwa anajaribu kuwatetea nyie mbugilambugila ila makaishia kumtukana,,

Na bado, mbona mtaimba tu haleluya
Magufuli hakuwa na mzaha kwenye kukusanya kodi,,, na ukikutwa na hela nyingi ndo ungeeleza umepataje na je umelipia kodi
 
Ni Tanzania ya kishenzi Kweli Kweli. Ma-CCM yanang'ang'ania Katiba ya Kishenzi na tunaongozwa kishenzi.
Usijidanganye, uligaji uko pale pale iwe katiba mpya au kuukuu,,
Angalia kenya, scandal kila siku,, juzi raia wamenyweshwa sukari yenye sumu,, na mhusika na mtoto wa vice president Gachuaga,,
Natamani katiba mpya ije hata kesho nianze kuona jinsi watu wagakavyokua wana singizia kipindi hicho,,
 
Na container 20 unazichukuliaje yani ?

Hakuna mali inayoweza kuwekwa kwenye container 20 yenye thamani ya bilioni 20 za kodi ?
Mama mwenyewe kasema alipotajiwa hiyo kodi akasema hana hela, hakusema kodi imekosewa, kasema sikuwa na hela. What does that mean? Anajua kilichomo. Na si ajabu kodi hiyo ni cummulative assesment ya biashara ya miaka 10 bila kulipa kodi. Hii ni hadithi ya majukwaani ya upande mmoja. Huwezi kufanya conclusion yeyote kwa kihadithi cha dakika mbili cha upande mmoja.
Ni vitenge vingi sana hivyo,, huyo mama pesa anayo kwerikweri
 
Kuishi kwenye shit-hole countries kama Tanzania raha sana, utajiri nje nje kwa rushwa na kupindisha haki na dili ikibuma unapakazia kesi. Si ajabu kukuta wasimamizi wa sheria ndo wavunjaji wakuu na wazuia rushwa ndo walaji wakuu.
# Who regulates the regulators?
 
Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.

Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Ana kitu naombeni namba yake ya simu nimfute machungu.
 
Kuna jamaa mmoja alitoa malalamiko yake kwa waziri mkuu kipindi Magufuli akiwa hai. Magufuli akaagiza wahusika washughulikiwe. Ilipigwa dana dana na jamaa karibia angeuawa. Mara ya mwisho nilisikia walikuwa wamemgeuzia kibao. Nataka tu kukuambia kuwa hii mitandao inahusisha mpaka mawaziri na vyombo vya dola. Dawa ni kuiondoa CCM.
 
Nadhani hata Commissioner General Alfayo Kidata naye HATOSHI kwenye nafasi hii. Kwa nini tuwalalamikie watu wa chini yake tu? Kwanini yote haya mpaka yanamfikia PM bila yeye kuwa na taarifa?

Kidata awajibishwe

Kidata anafanya vizuri wamwache aisee!

Nasikia ako na maono mazuri sana ya hiyo TRA.

Hizo tuhuma zichunguzwe iwapo ikithibitika kuna ukweli wahusika wachukuliwe hatua stahiki.

Sio kila tatizo ufukuze kiongozi , ni afadhali kushughulikia tatizo kwa kushirikiana na uongozi badala ya kutimua kiongozi.
 
Ana kitu naombeni namba yake ya simu nimfute machungu.
Kuna jamaa mmoja alitoa malalamiko yake kwa waziri mkuu kipindi Magufuli akiwa hai. Magufuli akaagiza wahusika washughulikiwe. Ilipigwa dana dana na jamaa karibia angeuawa. Mara ya mwisho nilisikia walikuwa wamemgeuzia kibao. Nataka tu kukuambia kuwa hii mitandao inahusisha mpaka mawaziri na vyombo vya dola. Dawa ni kuiondoa CCM.
Yule muhaa wa kutoka kigoma
Alilalamika sana na mpaka leo
Issue yake nahisi hawajaiweka
Sawa
TRA huko wanalindana kwa madudu yao

Ova
 
Bongo kwenye ulipaji kodi bado sana!

Kazi ingefanyika kama Kenya na mifumo ya ukadiriaji na udhibiti huenda kodi ingekuwa inakusanywa kubwa zaidi yumkini.

Honestly speaking
 
Ni kweli kuna kodi viwango ni vikubwa kuliko E.A yote Na wakijadili mambo hayo ndio utaleta mashiko lakini majungu na mihemko haiatasaidia.

John Mnyika aliwahi isema hii pale bungeni Mwaka fulani.
 
Yule muhaa wa kutoka kigoma
Alilalamika sana na mpaka leo
Issue yake nahisi hawajaiweka
Sawa
TRA huko wanalindana kwa madudu yao

Ova
Ndiyo nadhani ndiye huyo. Video yake iko hapa, na ziko nyingi tu. Nilipoona hakusaidiwa na jinsi alivyokuwa na vielelezo na maelezo yaliyonyooka nilichoka kabisa.
 
===Eti walianza na leta billion 30!

===Baadaye wakashuka hadi billion 15!

===Baadaye wakashuka hadi 10!

===Walipoona mama wa watu amekomaa kuikataa, wakamfungulia kesi ya uhujumu uchumi!

===Mwisho wakanyoosha maneno wenyewe kwa kumwitia mizigo yake bila kulipa chochote!!!!

Lakini swali kubwa la kujiuliza ni hili👇👇👇

Kwamba, hivi huyu mama anaweza kuwa na biashara kubwa kiasi gani ya kutoa rushwa ya TZS 30bn au 15bn au 10bn na bado akaendelea ku - survive katika game ya biashara?

===Hata kama ni Bakhresa umwambie atoe Kwa mkupuo mmoja TZS 30bn, lazima atafunga biashara zake tu..!!

Hawa watumishi wasakwe na wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi.!!

ADUI WA MAENDELEO YA NCHI YETU TANZANIA NI WAFANYAKAZI WA TRA na WIZARA YA FEDHA!!
Spot on!! Hawa wahalifu wasiachwe hivihivi. Hawa ndiyo wanaharibu sifa ya serikali yetu
 
Back
Top Bottom