Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA.
Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo” mambo hayawezi kwenda kwa urahisi. Hili limenifanya nijiulize kama ni mimi tu ninayekutana na hali hii au kuna wengine wana uzoefu kama huo.
Bila kuwa mnafiki Kuna Kuna jamaa Afisa Mmoja anaitwa Juma Mapocho Mwakipasile wa ofisi ya Ilala aise huyu jamaa ni kirusi, anaomba Rushwa waziwazi mpaka najiuliza huyu haogopi kufukuzwa?
Kwa wale ambao mmewahi kukutana na hali kama hii, mliombwa nini, katika mazingira gani, na ofisi/tawi gani?
Lengo ni kupata picha ya uzoefu halisi wa wafanyabiashara kuhusu suala hili, si kumshutumu mtu bila ushahidi.
Karibuni kwenye mjadala hasa wale wenye uzoefu wa moja kwa moja.
Ushahidi ninao na nilishaupeleka mamlaka husika na nilishaitwa kutoa udhshidiMbona wewe umemshutumu huyu jamaa bila ushahidi, acha roho mbaya kumchafua mtu bila sababu za msingi.kama ushahidi upo weka la sivyo utakua na chuki naye binafsi na unaweza kukuta mnafanya kazi ofisi moja hapo
AiseKuna huyo jamaa yupo Mbeya TRA bila Rushwa ya Milioni 3 hakusainii Document zako
Una ushahidi?Kuna huyo jamaa yupo Mbeya TRA bila Rushwa ya Milioni 3 hakusainii Document zako
Aise
Wewe ni Mmoja wao?Una ushahidi?
Inaumiza sana aiseKuna mwingine yupo TRA- TUNDUMA bila Laki 3 hadi 5 nae hasaini documents
Tena anaipitisha kwa mtu hiyo Rushwa kwa kutumia akaunti ya Ndugu yake au sijui jamaa yakeInaumiza sana aise
Baada ya kutoa ushahidi nini kinaendelea?Ushahidi ninao na nilishaupeleka mamlaka husika na nilishaitwa kutoa udhshidi
Mkuu uko TRA au vipi?Mbona wewe umemshutumu huyu jamaa bila ushahidi, acha roho mbaya kumchafua mtu bila sababu za msingi.kama ushahidi upo weka la sivyo utakua na chuki naye binafsi na unaweza kukuta mnafanya kazi ofisi moja hapo
Hata Mimi nimemshitukia, ndo walewale ambao wanaumiza watu kila siku na Rushwa zao za kipuuziMkuu uko TRA au vipi?
Sasa mtu atatajwa bila tuhuma?
Baada ya kutoa ushahidi nini kinaendelea?
Mengine ni ya kiofisi yako nje ya uwezo wanguBaada ya kutoa ushahidi nini kinaendelea?
Hapana sipo huko mkuu na Wala sikusiki kabisa na hao makaisali.Mkuu uko TRA au vipi?
Sasa mtu atatajwa bila tuhuma?
Hawa maafisa wa kuzuia magendo ndo kirusi kingine. Badala ya kuzuia wanasaidia kuwezesha magendo kusafirishwa au kuingizwa nchini wakishavuta mpungaKuna kile kikosi kazi cha kuzuia magendo ndani ya TRA wapo TUNDUMA na Mbeya, aiseeee wale jamaa kuanzia Madereva hadi Maafisa ni Mabilionea wa kutupwa...wanapiga hela wale jamaa na zile Land Cruiser zao za Hardtop zenye namba plate za United Kingdom na zingine Zina namba A au B Hawa jamaa wanapiga hela bhana