Hivi wewe unajua madhara ya hiki kitu ulichokiweka hapa? Hivi hata nafsi haikusuti kumtaja mtu kwa majina kutoa shutuma serious kama hizi? Unajua watu wangapi wanamtegemea huyo mtumishi? Akifukuzwa kazi unadhani watu wanaomtegemea wataishije? Machozi yao unadhani yatakuacha salama? Kuwa makini sana na hii dunia bro! Kila kitendo kibaya unachomfanyia mwenzako kitakurudia kwa kipimo kilekile na pengine hata zaidi.Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA.
Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo” mambo hayawezi kwenda kwa urahisi. Hili limenifanya nijiulize kama ni mimi tu ninayekutana na hali hii au kuna wengine wana uzoefu kama huo.
Bila kuwa mnafiki Kuna Kuna jamaa Afisa Mmoja anaitwa Juma Mapocho Mwakipasile wa ofisi ya Ilala aise huyu jamaa ni kirusi, anaomba Rushwa waziwazi mpaka najiuliza huyu haogopi kufukuzwa?
Kwa wale ambao mmewahi kukutana na hali kama hii, mliombwa nini, katika mazingira gani, na ofisi/tawi gani?
Lengo ni kupata picha ya uzoefu halisi wa wafanyabiashara kuhusu suala hili, si kumshutumu mtu bila ushahidi.
Karibuni kwenye mjadala hasa wale wenye uzoefu wa moja kwa moja.
Ninachoamini hata ukimtaja, TRA na Serikali kwa ujumla vina mamlaka za kiuchunguzi ambapo tuhuma isipothibitika kwa ushahidi, baada uchunguzi mtuhimiwa anabaki kuwa huru na anaendeleaj na kaziHapana sipo huko mkuu na Wala sikusiki kabisa na hao makaisali.
Nachojaribu kuweka sawa ni watu wasijue pata mwanya wa kuweka majina ya watu kwa kuchafuana kwa chuki zao binafsi
Unadhani anaponikandamiza kwenye biashara yangu na kuididimiza kupitia Rushwa za kijinga, umefikiria kwamba wanaonitegemea wataishije biashara yangu ikifa? All in All anapaswa kuzingatia maadili katika utendaji wake wa kazi hakuna atakayemuoneaHivi wewe unajua madhara ya hiki kitu ulichokiweka hapa? Hivi hata nafsi haikusuti kumtaja mtu kwa majina kutoa shutuma serious kama hizi? Unajua watu wangapi wanamtegemea huyo mtumishi? Akifukuzwa kazi unadhani watu wanaomtegemea wataishije? Machozi yao unadhani yatakuacha salama? Kuwa makini sana na hii dunia bro! Kila kitendo kibaya unachomfanyia mwenzako kitakurudia kwa kipimo kilekile na pengine hata zaidi.
Kuna tabia ya wafanyakazi kutajana kwakuoneana wivu wa maendeleoMkuu uko TRA au vipi?
Sasa mtu atatajwa bila tuhuma?
Kwanini aombe rushwa huyo Afisa kwani halipwi mshahara? Maadili ya kazi yake yanamwelekeza kuomba rushwa?Hivi wewe unajua madhara ya hiki kitu ulichokiweka hapa? Hivi hata nafsi haikusuti kumtaja mtu kwa majina kutoa shutuma serious kama hizi? Unajua watu wangapi wanamtegemea huyo mtumishi? Akifukuzwa kazi unadhani watu wanaomtegemea wataishije? Machozi yao unadhani yatakuacha salama? Kuwa makini sana na hii dunia bro! Kila kitendo kibaya unachomfanyia mwenzako kitakurudia kwa kipimo kilekile na pengine hata zaidi.
Hawa maafisa wa kuzuia magendo ndo kirusi kingine. Badala ya kuzuia wanasaidia kuwezesha magendo kusafirishwa au kuingizwa nchini wakishavuta mpunga
Je mrejesho huwa upoje?Kwanini aombe rushwa huyo Afisa kwani halipwi mshahara? Maadili ya kazi yake yanamwelekeza kuomba rushwa?
Mimi huwa nawalipua tu huwa nawalipoti kwa kupiga ile namba 0800750075 na nilikuwa nipo recorded kabisa.
Siwezi kujua maana sijafuatilia , maana nimeshawahi kufanya mara mbiliJe mrejesho huwa upoje?
Wanafukuzwa au wanahamishwa?
Mkuu,Akikaa kimya pia kuna madhara,Name and Shame nayo ni Mbaya ila sasa tujiulize Je ni Tuhuma hizi ni za Kweli?Akitakiwa kutoa ushahidi anao?Ameripoti TAKUKURU na Katika Dawati la Malalamiko TRA?Hivi wewe unajua madhara ya hiki kitu ulichokiweka hapa? Hivi hata nafsi haikusuti kumtaja mtu kwa majina kutoa shutuma serious kama hizi? Unajua watu wangapi wanamtegemea huyo mtumishi? Akifukuzwa kazi unadhani watu wanaomtegemea wataishije? Machozi yao unadhani yatakuacha salama? Kuwa makini sana na hii dunia bro! Kila kitendo kibaya unachomfanyia mwenzako kitakurudia kwa kipimo kilekile na pengine hata zaidi.
Na huu Ndio URAIA.Ukiona Jambo linaenda ndivyo sivyo chukua hatua,Siwezi kujua maana sijafuatilia , maana nimeshawahi kufanya mara mbili
Kwanza yule aliyetaka hela ili athibitishe TIN No yangu imehamia Mkoa wa Ilala nili shout mbele ya Wenzake yawezekana aliitwa na kuonywa ofisi ni pale jengo la Johari Rotana Hotel halafu yule dogo ni Mzanzibari.
Baada ya kuhamisha TIN no ikawa kituo cha Kodi ni TRA Vingunguti, siku naenda kuchukua control number mida ya saa 8 mchana, eti Mlinzi akawa anaongea kwa nyodo na maringo , Meneja kasema hakuna kazi sasa hivi na haruhusiwi mtu kuingia sasa hivi.
Nikawapigia ile number 0800750075 nikaunganishwa mpaka na Meneja wa TRA Vingunguti akawa anasema kazi ziIlizidi kwahiyo njoo tu ndugu Mteja.
Nikamwambia siku nyingine mimi nishaondoka halafu punguzeni madharau yaani mtu nakuja kulipia nyinyi hamtaki kutoa huduma mnasema mna kazi nyingi.
Sijui nini kilimkuta yule Meneja.
Usipowapa rushwa , watatumia sheria zetu hizi za kipumbavu kukunyorosha. Kuna Dada mmoja pale TRA mwenge ambao sasa wamehamia pale mbele, aliwahi kunipa mzigo(deni) la milioni 270......tukakaa mezani, sikubishana nae ila tukaongea tukayajenga yakajengeka pande zote mbili.Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA.
Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo” mambo hayawezi kwenda kwa urahisi. Hili limenifanya nijiulize kama ni mimi tu ninayekutana na hali hii au kuna wengine wana uzoefu kama huo.
Bila kuwa mnafiki Kuna Kuna jamaa Afisa Mmoja anaitwa Juma Mapocho Mwakipasile wa ofisi ya Ilala aise huyu jamaa ni kirusi, anaomba Rushwa waziwazi mpaka najiuliza huyu haogopi kufukuzwa?
Kwa wale ambao mmewahi kukutana na hali kama hii, mliombwa nini, katika mazingira gani, na ofisi/tawi gani?
Lengo ni kupata picha ya uzoefu halisi wa wafanyabiashara kuhusu suala hili, si kumshutumu mtu bila ushahidi.
Karibuni kwenye mjadala hasa wale wenye uzoefu wa moja kwa moja.
Hapa umeandika utumbo.Hivi wewe unajua madhara ya hiki kitu ulichokiweka hapa? Hivi hata nafsi haikusuti kumtaja mtu kwa majina kutoa shutuma serious kama hizi? Unajua watu wangapi wanamtegemea huyo mtumishi? Akifukuzwa kazi unadhani watu wanaomtegemea wataishije? Machozi yao unadhani yatakuacha salama? Kuwa makini sana na hii dunia bro! Kila kitendo kibaya unachomfanyia mwenzako kitakurudia kwa kipimo kilekile na pengine hata zaidi.
Mtaje jina tumjueKuna huyo jamaa yupo Mbeya TRA bila Rushwa ya Milioni 3 hakusainii Document zako
Manispaa ndio wenye tabu hiyoWadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA.
Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo” mambo hayawezi kwenda kwa urahisi. Hili limenifanya nijiulize kama ni mimi tu ninayekutana na hali hii au kuna wengine wana uzoefu kama huo.
Bila kuwa mnafiki Kuna Kuna jamaa Afisa Mmoja anaitwa Juma Mapocho Mwakipasile wa ofisi ya Ilala aise huyu jamaa ni kirusi, anaomba Rushwa waziwazi mpaka najiuliza huyu haogopi kufukuzwa?
Kwa wale ambao mmewahi kukutana na hali kama hii, mliombwa nini, katika mazingira gani, na ofisi/tawi gani?
Lengo ni kupata picha ya uzoefu halisi wa wafanyabiashara kuhusu suala hili, si kumshutumu mtu bila ushahidi.
Karibuni kwenye mjadala hasa wale wenye uzoefu wa moja kwa moja.
Duh deni la milioni 270?wakati huo deni halisi lilikuwa ngapi?Yaani hii wanakufosi utake usitake utatoa tuUsipowapa rushwa , watatumia sheria zetu hizi za kipumbavu kukunyorosha. Kuna Dada mmoja pale TRA mwenge ambao sasa wamehamia pale mbele, aliwahi kunipa mzigo(deni) la milioni 270......tukakaa mezani, sikubishana nae ila tukaongea tukayajenga yakajengeka pande zote mbili.
Hawawezi kumfukuza mtu kazi kisa jina lake limetajwa mtandaoni. Kama wakiamua kutafuta ukweli wakajiridhisha kuwa kilichosemwa hapa ni kweli akachukuliwa hatua ndio hasa lengo la uzi.Hivi wewe unajua madhara ya hiki kitu ulichokiweka hapa? Hivi hata nafsi haikusuti kumtaja mtu kwa majina kutoa shutuma serious kama hizi? Unajua watu wangapi wanamtegemea huyo mtumishi? Akifukuzwa kazi unadhani watu wanaomtegemea wataishije? Machozi yao unadhani yatakuacha salama? Kuwa makini sana na hii dunia bro! Kila kitendo kibaya unachomfanyia mwenzako kitakurudia kwa kipimo kilekile na pengine hata zaidi.
Kabisa mkuu, watu wanajifikiria wao tu utadhani wafanyabiashara wao hawana familiaUnadhani anaponikandamiza kwenye biashara yangu na kuididimiza kupitia Rushwa za kijinga, umefikiria kwamba wanaonitegemea wataishije biashara yangu ikifa? All in All anapaswa kuzingatia maadili katika utendaji wake wa kazi hakuna atakayemuonea