Watumishi wa Umma ambao hatujapanda daraja tukutane hapa

Watumishi wa Umma ambao hatujapanda daraja tukutane hapa

Nimehisi huenda ambao tumepata mshahara mapema hatujapandishwa madaraja. Sijui labda nitaelewa baadae
 
Baada ya mbwembwe nyingi na mshahara kuchelewa tukiamini kuwa tutapanda madaraja, hatimaye salary imetoka bila mabadiliko yoyote! Vipi huko uliko mtumishi upi katika hali gani?
WAtumishi wengi hawapanda madaraja mimi mke wangu yuko taasisi moja hivi ambayo iko chini ya wizara ya viwanda na biashra anasema hakuna mtumishi hata moja aliyepanda mshahara wala arrears
 
Back
Top Bottom