gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Some women are very unlucky!!Kumbe Hadi una mke?
Ulikuwa una behave kiboya sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Some women are very unlucky!!Kumbe Hadi una mke?
Ulikuwa una behave kiboya sana.
Ndio barua tumepataMlikuwa mmepata barua za kupanda daraja?
Kuna kitu kilinichanganya. Waziri wa utumishi siku za nyuma alisema wamepanga kupandisha madaraja watumishi elfu 90. Lakini juzi kati taarifa ikatoka sijui wamepandisha watumishi elfu 70 hivi. Sasa wale elfu 20 wameenda wapi? au wanapandisha taratibu. Tuweni na subira!
Kudaiwa kwangu au kutodaiwa hakuhusiani na hii mada.Wewe hudaiwi hata kiberiti?
Wakawaambia wanajumlisha na salary ya mwezi huu au ya mwezi huu mtajaza fomu ya kuidai?Mi hapa Manispaa ya Morogoro idara ya afya sijapanda daraja, ila kuna baadhi ya watumishi wenzetu wamepanda, tulipouliza tumeambiwa tutapandishwa mwezi ujao, tunavuta Subira.
Mimi pia nimeangukia pua! Kazini kwangu waliopandishwa ni 10% ya waliostahili kupanda! Cha kushangaza majina yote ya watumishi walio stahili kupandishwa hayo madaraja yalitoka wiki kadhaa zilizopita.Baada ya mbwembwe nyingi na mshahara kuchelewa tukiamini kuwa tutapanda madaraja, hatimaye salary imetoka bila mabadiliko yoyote! Vipi huko uliko mtumishi upi katika hali gani?
Pandeni hata “Kijazi” sio mbayaBaada ya mbwembwe nyingi na mshahara kuchelewa tukiamini kuwa tutapanda madaraja, hatimaye salary imetoka bila mabadiliko yoyote! Vipi huko uliko mtumishi upi katika hali gani?
Alipwe arrears amepewa barua mkononi?? au yupo kwenye orodha ya kupanda. hawatoi barua hadi uwe approved kwenye mfumo kuavoid arrearsFanyeni kazi, mtalipwa arrears
Hiyo ya mwezi huu ndo itakuwa imekula kwetu maana siku hizi mpaka salary ibadilike ndo Unapewa barua ya promotion kuzuia malimbikizo ya salaryWakawaambia wanajumlisha na salary ya mwezi huu au ya mwezi huu mtajaza fomu ya kuidai?
Sasa wajiandae na u_DASIshukuruni Serikali ya CCM.
Imewaona ww na mkeo.
ni kweli kabisa! halafu ndo nini.Unawezakuta umri wako ni miaka 40 kwenda juu
mwalm.hujapandaja jmn.Amani ya nafsi ninayo, daraja nitapandaga tu huko mbele....
Yaani bora kipindi kile tulikuwa hatuna matumaini,watu wanasimama kwenye vyomb vya habari kuongea vitu wasivyo na uhakika navyo asee.....sadTunataka madaraja yetu waliyotuahidi?!!si Bora wangekausha tu Kama mwendazake?
Mambo ya kupeana vidonda vya tumbo ya nn!![emoji848]
Mchengerwa ajitokeze Sasa alitolee ufafanuzi Hili,nashangaa kafichama Kama hayupo vile[emoji38][emoji38][emoji38]
Hujawahi kusikia Yale matangazo.... kuwa vigezo na masharti kuzingatiwa ???!!!!Mwenye sababu za kwa nini watu hawajapandishwa madaraja yao aiweke hapa.