Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hakuna cha vigezo na masharti wala nini! Sababu ni hii hapa ; HAWANA HELA! Hivyo inawalazimu kupandisha kwa awamu/mafungu.Hujawahi kusikia Yale matangazo.... kuwa vigezo na masharti kuzingatiwa ???!!!!
How come mnafanya kazi ofisi moja, wengine wapandishwe! Halafu wengine wasipandishwe, huku wote mkiwa na sifa zinazo fanana?