Watumishi wa Umma ambao hatujapanda daraja tukutane hapa

Ndio barua tumepata
 
Mi hapa Manispaa ya Morogoro idara ya afya sijapanda daraja, ila kuna baadhi ya watumishi wenzetu wamepanda, tulipouliza tumeambiwa tutapandishwa mwezi ujao, tunavuta Subira.
Wakawaambia wanajumlisha na salary ya mwezi huu au ya mwezi huu mtajaza fomu ya kuidai?
 
Baada ya mbwembwe nyingi na mshahara kuchelewa tukiamini kuwa tutapanda madaraja, hatimaye salary imetoka bila mabadiliko yoyote! Vipi huko uliko mtumishi upi katika hali gani?
Mimi pia nimeangukia pua! Kazini kwangu waliopandishwa ni 10% ya waliostahili kupanda! Cha kushangaza majina yote ya watumishi walio stahili kupandishwa hayo madaraja yalitoka wiki kadhaa zilizopita.

Sasa iweje wapandishwe wachache! Au hawana hela hawa Wakoloni wetu weusi!!!
 
Baada ya mbwembwe nyingi na mshahara kuchelewa tukiamini kuwa tutapanda madaraja, hatimaye salary imetoka bila mabadiliko yoyote! Vipi huko uliko mtumishi upi katika hali gani?
Pandeni hata “Kijazi” sio mbaya
 
Wakawaambia wanajumlisha na salary ya mwezi huu au ya mwezi huu mtajaza fomu ya kuidai?
Hiyo ya mwezi huu ndo itakuwa imekula kwetu maana siku hizi mpaka salary ibadilike ndo Unapewa barua ya promotion kuzuia malimbikizo ya salary
 
Mimi kama mtumishi wa Mungu ndo ninapanda kwenye madhabahu
 
So sad and disappointing.nyie mlipanda hamjasoma kichwa cha habari?Tuacheni tujiliwaze ambao hatujapanda.
 
Endeleeni kula mtori watumishi wa umma,nyama zipo chini

Kila kitu kitaa sawia kabisa
 
Tunataka madaraja yetu waliyotuahidi?!!si Bora wangekausha tu Kama mwendazake?
Mambo ya kupeana vidonda vya tumbo ya nn!!🤔
Mchengerwa ajitokeze Sasa alitolee ufafanuzi Hili,nashangaa kafichama Kama hayupo vile😆😆😆
 
Tunataka madaraja yetu waliyotuahidi?!!si Bora wangekausha tu Kama mwendazake?
Mambo ya kupeana vidonda vya tumbo ya nn!![emoji848]
Mchengerwa ajitokeze Sasa alitolee ufafanuzi Hili,nashangaa kafichama Kama hayupo vile[emoji38][emoji38][emoji38]
Yaani bora kipindi kile tulikuwa hatuna matumaini,watu wanasimama kwenye vyomb vya habari kuongea vitu wasivyo na uhakika navyo asee.....sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…