Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jun 26, 2021 #61 kson m said: Hujawahi kusikia Yale matangazo.... kuwa vigezo na masharti kuzingatiwa ???!!!! Click to expand... Hakuna cha vigezo na masharti wala nini! Sababu ni hii hapa ; HAWANA HELA! Hivyo inawalazimu kupandisha kwa awamu/mafungu. How come mnafanya kazi ofisi moja, wengine wapandishwe! Halafu wengine wasipandishwe, huku wote mkiwa na sifa zinazo fanana?
kson m said: Hujawahi kusikia Yale matangazo.... kuwa vigezo na masharti kuzingatiwa ???!!!! Click to expand... Hakuna cha vigezo na masharti wala nini! Sababu ni hii hapa ; HAWANA HELA! Hivyo inawalazimu kupandisha kwa awamu/mafungu. How come mnafanya kazi ofisi moja, wengine wapandishwe! Halafu wengine wasipandishwe, huku wote mkiwa na sifa zinazo fanana?
kson m JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 6,672 Reaction score 3,055 Jun 26, 2021 #62 Tate Mkuu said: Hakuna cha vigezo na masharti wala nini! Sababu ni hii hapa ; HAWANA HELA! Hivyo inawalazimu kupandisha kwa awamu/mafungu. How come mnafanya kazi ofisi moja, wengine wapandishwe! Halafu wengine wasipandishwe, huku wote mkiwa na sifa zinazo fanana? Click to expand... Yawezekana hawajapanda Bali wamelipwa arrears zao !!
Tate Mkuu said: Hakuna cha vigezo na masharti wala nini! Sababu ni hii hapa ; HAWANA HELA! Hivyo inawalazimu kupandisha kwa awamu/mafungu. How come mnafanya kazi ofisi moja, wengine wapandishwe! Halafu wengine wasipandishwe, huku wote mkiwa na sifa zinazo fanana? Click to expand... Yawezekana hawajapanda Bali wamelipwa arrears zao !!
chendelela JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 1,145 Reaction score 1,008 Jul 2, 2021 #63 Majina ya wanaostahili kupanda yanapatikana wapi?