Kuna uhusiano gani kati ya uzinifu na kilichoandikwa hapaWewe mwenyewe usikute mzinifu, msengenyaji na dhambi kibao unazo hivyo badala ya kutubu unajifanya msafi wa kutoa laana kwa wenzio. Ujinga huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hao ni vijana hamna shida maana imesemekana vijana wako upande wa mabadiliko.Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!
Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.
Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa
Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo
Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa
Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!
Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-
1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani
2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala
3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala
4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi
5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!
Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui
Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!
Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni![emoji120]
Nimecheka sana 😂😂😂😂😂😂😂😂Mungu siyo Amsterdam
Kuna uhusiano wa kifahiwa hasa utakapozingatia vikoa vya maana katika msamiati inayounda sentensi zako.Kuna uhusiano gani kati ya uzinifu na kilichoandikwa hapa
Kama umeweza kusoma na kuandika humu, ni baraka iliyotokana na hao "wenye laana ".Ualimu ni laana
Tujikumbushe kilichoandikwa hapa kabla ya uchaguziMchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!
Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.
Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa
Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo
Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa
Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!
Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-
1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani
2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala
3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala
4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi
5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!
Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui
Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!
Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni![emoji120]
Usilolijua au kua na uhakika nalo usilisemee. Nina ushahidi kwa upande wa walimu.Ulisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,halafu watumishi hawana vyama ndiomaana wanachukuliwa kusimamia uchaguzi
AmeeeenUalimu ni laana
Mkuu, nilisoma hili andiko lako kabla ya upigaji kura, ila nimelielewa baada ya matokeo feki kuanza kutangazwa😳ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui
Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!
Huku chini michako ilikuwa dhahiri! Safu ya kuhakikisha hayo yaliyotokea yanakuwa hivyo iliandaliwa mapema na kupewa ahadi zilizoambatana na vitisho liveMzee uliona mbali sana.
Hv unaongea kwa kutumia akili au tumbo jinga Sana wwUlisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,halafu watumishi hawana vyama ndiomaana wanachukuliwa kusimamia uchaguzi
Hongera sana, ufafanuzi mzuri na ukweli ndiyo huo 100%, unafahamu zaidi haya uliyoyaandika, shida tu watanzania km vile tumelogwa, upole, njaa na uoga uliopitiliza. Unajua tatizo liko wapi unabaki kulalamika bila kuchukua hatua. Anyway pengine kuna siku malaika atawashukia, mtajitambua.Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!
Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.
Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa
Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo
Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa
Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!
Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-
1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani
2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala
3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala
4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi
5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!
Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui
Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!
Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni![emoji120]
Kila lenye mwanzo litafika mwishoMchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!

Habari yako?Ulisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,halafu watumishi hawana vyama ndiomaana wanachukuliwa kusimamia uchaguzi
Kama umeweza kusoma na kuandika humu, ni baraka iliyotokana na hao "wenye laana ".
Kuna wapuuzi huwa mna mawazo ya kijinga kama kuku aliyekatwa kichwaUlisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,halafu watumishi hawana vyama ndiomaana wanachukuliwa kusimamia uchaguzi
Wewe mwenyewe unaishi kwa shemeji yakoMbona walimu wana laana tayari
hawana maendeleo wananuka mikopo tu madukani hadi chumvi ya 400/= wanakopa
Kama huo ualimu ni laana, basi na wewe bila shaka una laana! Maana hata hao wazazi wako waliokuleta hapa duniani nao ni walimu! Na ndiyo walio kufundisha kula na pia kwenda chooni kunya.Ni laana...
We Jamaa level yako ya kuelewa is very very lowUlisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,halafu watumishi hawana vyama ndiomaana wanachukuliwa kusimamia uchaguzi