Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma hasa maafisa utumishi, Maafisa watendaji kata na Walimu mtapata laana ya Watanzania uchaguzi huu wa 2020

Wewe mwenyewe usikute mzinifu, msengenyaji na dhambi kibao unazo hivyo badala ya kutubu unajifanya msafi wa kutoa laana kwa wenzio. Ujinga huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna uhusiano gani kati ya uzinifu na kilichoandikwa hapa
 
Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!

Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.

Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa

Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo

Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa

Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!

Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-

1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani

2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala

3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala

4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi

5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!

Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui

Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!

Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni![emoji120]
Kama hao ni vijana hamna shida maana imesemekana vijana wako upande wa mabadiliko.
 
Tujikumbushe kilichoandikwa hapa kabla ya uchaguzi
 
Ulisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,halafu watumishi hawana vyama ndiomaana wanachukuliwa kusimamia uchaguzi
Usilolijua au kua na uhakika nalo usilisemee. Nina ushahidi kwa upande wa walimu.
 
ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui

Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!
Mkuu, nilisoma hili andiko lako kabla ya upigaji kura, ila nimelielewa baada ya matokeo feki kuanza kutangazwa😳
 
Mzee uliona mbali sana.
Huku chini michako ilikuwa dhahiri! Safu ya kuhakikisha hayo yaliyotokea yanakuwa hivyo iliandaliwa mapema na kupewa ahadi zilizoambatana na vitisho live
 
Ulisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,halafu watumishi hawana vyama ndiomaana wanachukuliwa kusimamia uchaguzi
Hv unaongea kwa kutumia akili au tumbo jinga Sana ww
 
Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!

Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.

Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa

Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo

Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa

Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!

Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-

1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani

2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala

3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala

4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi

5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!

Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui

Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!

Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni![emoji120]
Hongera sana, ufafanuzi mzuri na ukweli ndiyo huo 100%, unafahamu zaidi haya uliyoyaandika, shida tu watanzania km vile tumelogwa, upole, njaa na uoga uliopitiliza. Unajua tatizo liko wapi unabaki kulalamika bila kuchukua hatua. Anyway pengine kuna siku malaika atawashukia, mtajitambua.

Anyway popote ulipo ubarikiwe.
 
Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!

Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.

Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa

Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo

Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa

Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!

Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-

1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani

2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala

3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala

4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi

5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!

Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui

Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!

Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni![emoji120]
Kila lenye mwanzo litafika mwisho
 
Ulisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,halafu watumishi hawana vyama ndiomaana wanachukuliwa kusimamia uchaguzi
Kuna wapuuzi huwa mna mawazo ya kijinga kama kuku aliyekatwa kichwa
 
Ni laana...
Kama huo ualimu ni laana, basi na wewe bila shaka una laana! Maana hata hao wazazi wako waliokuleta hapa duniani nao ni walimu! Na ndiyo walio kufundisha kula na pia kwenda chooni kunya.

Au kwa akili yako unadhani mwalimu ni yule mtu anayefundisha tu darasani?
 
Ulisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,halafu watumishi hawana vyama ndiomaana wanachukuliwa kusimamia uchaguzi
We Jamaa level yako ya kuelewa is very very low
 
Back
Top Bottom