Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Du anuyejua akuje huku hili ni jukwaa la watu mbali mbali
Mtumishi leo hadi kesho HR wako atakuwa na.majibu kwasababu payrolls zitakuwa zimetoka.
 
1. Na wala hakuajiri,
2. Alifukuza vyeti feki lakini total figure iliyolipa mishahara haikushuka
3. Alifukuza wafanyakazi hewa lakini total figure au gharama za mishahara hazikushuka
4. Hakupandisha madaraja, lakini gharama za mishahara zilipanda...

Sasa kilichokuwa hakishushi gharama za mishahara wakati yote hapo juu yamefanyika hakijulikani
Ila kweli watanzania tuna shida ya afya ya akili. Magufuli niliona anaajiri walimu awamu 2, 2019 April na 2020. Vijana wa JKT niliona wakiajiriwa hivyo hoja yako ya no. 1 naicrush ni uongo.
 
Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc

Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?
Au unaweza ukafanya ESTIMATE ya nmana hii ili usiangaike sana kujua ni kiasi utapata (ESTIMATED NET PAY AMOUNT)

NET PAY=50,000/= WHILE MSHAHARA NI 100%
JE;
NET PAY=......................? WHILE MSHAHARA NI 123.30%?
 
Hongereni watumishi,
Mama yenu anaupiga mwingi[emoji4]
images-965.jpg
 
Sasa kama ni hivyo ina maana kuna watu hawajui wataongezwa asilimia ngapi..!!! Na pengine, wengine si sehemu ya watakaopata nyongeza...!! Hivi, kwa namna ilivyosemwa, hiyo 23.3% itaongezwa kwa akina nani? Kama haijulikani BASI NI CHANGA LA MACHO HILOOO..!!!
Subiria mda ukifika ndio utajua.
 
Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc

Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?

Kaka hesabu haziko hivyo. Kadri mshahara unavyozidi kua mkubwa ndo % zinwvyopungua. Na hapa ndio panawapa watu headache. Hiyo 23.3% sio flat rate
 
Kaka hesabu haziko hivyo. Kadri mshahara unavyozidi kua mkubwa ndo % zinwvyopungua. Na hapa ndio panawapa watu headache. Hiyo 23.3% sio flat rate
Msiugue vichwa wewe jiweke kwenye asilimia sita au saba huko ukikutana na asilimia ya juu zaidi ichukue kama bonus
 
Jambo lao kama jambo lao, hahaaaaa yaani mtu anaongezewa Tsh 3,500/= mwingine buku mbili , kwenye mshahara anashangiliiiia kweli wajinga ndio waliwao, siku zote nawaambiaga utumishi wa umma wa watanzania ni UTUMWA.
 
Back
Top Bottom