Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Jambo lao kama jambo lao, hahaaaaa yaani mtu anaongezewa Tsh 3,500/= mwingine buku mbili , kwenye mshahara anashangiliiiia kweli wajinga ndio waliwao, siku zote nawaambiaga utumishi wa umma wa watanzania ni UTUMWA.
Mtumishi kaa kwa kutulia
 
Jambo lao kama jambo lao, hahaaaaa yaani mtu anaongezewa Tsh 3,500/= mwingine buku mbili , kwenye mshahara anashangiliiiia kweli wajinga ndio waliwao, siku zote nawaambiaga utumishi wa umma wa watanzania ni UTUMWA.

Hiyo hela imeongezwa lini?
 
Mtumishi leo hadi kesho HR wako atakuwa na.majibu kwasababu payrolls zitakuwa zimetoka.
Ongezeko ni elfu 20 kwa taasisi na elfu 50 kwa Serikali kuu na Serikali za mitaa. Ikiwa tofauti na hivi mniuweeee
 
Yaniii Naamini tutacheka kwa ku kukenua meno kidogo walau rafiki......!!
Vipi huko mshapata majibu yanayoendana naile inayotrend mitandaoni rafiki???🤔🤔🤔
Antonnia wewe ndo uliitwa huku sasa mkuu 🤸🤸🤸
 
Back
Top Bottom