mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Siyo kweli!! Mtu anaweza kuwa mtumishi wea umma na akafanya biashara pia!! Mtumishi wa umma ana nafasi ya kufanya miradi mingine kwa urahisi maana anapata mikopo mikubwa kwa urahisi kwa dhamana ya ajira yake!!Jambo lao kama jambo lao, hahaaaaa yaani mtu anaongezewa Tsh 3,500/= mwingine buku mbili , kwenye mshahara anashangiliiiia kweli wajinga ndio waliwao, siku zote nawaambiaga utumishi wa umma wa watanzania ni UTUMWA.