Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Hapa ni selfika? Au unataka kupopolewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„
Uwiiii Najua nipo selfika mwenzio dohh!!
Asante dear ngoja nitoke nikimbie fastaaaaaaπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ
 
Yaan nasubiri kwa hamu kujua watoto wa mama wa kambo kama tutagusika hata kwa asilimia 10
 
Mwaka mpya wa fwedher mambo ni mengi muda ni mchache
Yeah ila si payroll huwa zinarudi halmashauri sijui tarehe ngapi awamu hii mambo yamekaaje kwani!!πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Yeah ila si payroll huwa zinarudi halmashauri sijui tarehe ngapi awamu hii mambo yamekaaje kwani!!πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Mwakahuu mfumo wa ku generate payrolls umezidiwa na figure zilizo ongezeka kwenye mishahara ya watu hivyo maadimin wana reboot system na kusababisha payrolls kuchelewa
 
Mwaka mpya wa fwedher mambo ni mengi muda ni mchache
Mimi hata sipo huko kwa mama enu mzaa chema πŸ˜‚

Mie huku huyo ni mama wa kambo, yaan sijui kama kuna kijisheria kitatukumbuka.
 
Mimi hata sipo huko kwa mama enu mzaa chema πŸ˜‚

Mie huku huyo ni mama wa kambo, yaan sijui kama kuna kijisheria kitatukumbuka.
Marupurupu, Xtra duty, on transit allowance, za kuchekecha humohumo ofisini overtime na nights bado haziwatoshi mnataka na nyongeza juu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwakahuu mfumo wa ku generate payrolls umezidiwa na figure zilizo ongezeka kwenye mishahara ya watu hivyo maadimin wana reboot system na kusababisha payrolls kuchelewa
Walai mpaka waleo bilabila!
Ila ma afisa utumishi wanajua bana watuvujishie siri bana wasitufanyie hivii!πŸ€”πŸ˜‰
 
Wangekuwa wanajua tungeshajua maana miongoni mwao ni marafiki, wake zetu wapenzi wetu wazazi wetu michepuko n.k siri zingevuja tu
Kweli mkuu awamu hii kuna engo mama kakaza hatari!!
Ngoja tusubiri tuone
 
Marupurupu, Xtra duty, on transit allowance, za kuchekecha humohumo ofisini overtime na nights bado haziwatoshi mnataka na nyongeza juu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Rais si wetu wote? Na sie angewezesha hata 10% tu

Hizo allowances hazitokei kila week bana
 
Wajiandae kwa kilio cha Kusaga Meno cha UZEENI KIKOKOTOO
cha Asilimia 33
Usichokijua ni kuwa watumishi wengi tu wa umma waliokuwa mifuko ya PPF na NSSF kabla ya kuhamishiwa PSSSF walikuwa na kikokotoo cha asilimia 25 hadi hiyo june 2022. Kwa hiyo kwao kikokotoo kipya cha asilimia 33 ni kicheko sana. Kilio ni kwa watumishi wa umma waliokuwa LAPF na PSPF kabla ya kuhamishiwa PSSSF, hawa walikuwa na kikokotoo cha asilimia 50 hadi june 2022. Kwa hiyo kwao kikokotoo cha asilimia 33 ni kilio na kusaga meno!!
 
Au unaweza ukafanya ESTIMATE ya nmana hii ili usiangaike sana kujua ni kiasi utapata (ESTIMATED NET PAY AMOUNT)

NET PAY=50,000/= WHILE MSHAHARA NI 100%
JE;
NET PAY=......................? WHILE MSHAHARA NI 123.30%?
Hiyo cross multiplication ina-apply kwa kima cha chini peke yake. Kila kiwango cha mshahara kina asilimia tofauti.
 
Back
Top Bottom