Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Mtumishi kaa kwa kutuliaJambo lao kama jambo lao, hahaaaaa yaani mtu anaongezewa Tsh 3,500/= mwingine buku mbili , kwenye mshahara anashangiliiiia kweli wajinga ndio waliwao, siku zote nawaambiaga utumishi wa umma wa watanzania ni UTUMWA.