Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Du anuyejua akuje huku hili ni jukwaa la watu mbali mbali
Mtumishi leo hadi kesho HR wako atakuwa na.majibu kwasababu payrolls zitakuwa zimetoka.
 
Ila kweli watanzania tuna shida ya afya ya akili. Magufuli niliona anaajiri walimu awamu 2, 2019 April na 2020. Vijana wa JKT niliona wakiajiriwa hivyo hoja yako ya no. 1 naicrush ni uongo.
 
Au unaweza ukafanya ESTIMATE ya nmana hii ili usiangaike sana kujua ni kiasi utapata (ESTIMATED NET PAY AMOUNT)

NET PAY=50,000/= WHILE MSHAHARA NI 100%
JE;
NET PAY=......................? WHILE MSHAHARA NI 123.30%?
 
Subiria mda ukifika ndio utajua.
 

Kaka hesabu haziko hivyo. Kadri mshahara unavyozidi kua mkubwa ndo % zinwvyopungua. Na hapa ndio panawapa watu headache. Hiyo 23.3% sio flat rate
 
Kaka hesabu haziko hivyo. Kadri mshahara unavyozidi kua mkubwa ndo % zinwvyopungua. Na hapa ndio panawapa watu headache. Hiyo 23.3% sio flat rate
Msiugue vichwa wewe jiweke kwenye asilimia sita au saba huko ukikutana na asilimia ya juu zaidi ichukue kama bonus
 
Jambo lao kama jambo lao, hahaaaaa yaani mtu anaongezewa Tsh 3,500/= mwingine buku mbili , kwenye mshahara anashangiliiiia kweli wajinga ndio waliwao, siku zote nawaambiaga utumishi wa umma wa watanzania ni UTUMWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…